Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

Kutoka Arusha kijenge juu. πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Unabisha nimwambie max aweke number yako public.
Mi namsubiria sista D anikane hapa nimpige photo sahivi anajaza maji kwenye majaba. Hana bando sijui?
 
Kutoka Arusha kijenge juu. [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Unabisha nimwambie max aweke number yako public.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka kifala
Hebu weka hapa chapu bila kuchelewa
 
Mi namsubiria sista D anikane hapa nimpige photo sahivi anajaza maji kwenye majaba. Hana bando sijui?
Ukimposti tu na wewe nakuposti au Unabisha nimesomea I.T Nigeria na JF sisi ni moja wapo wa moderator bisha uone πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mwez uliopita nilikuwa kwenye kikao.., sasa wale wagen kuna mmoja ni mtu mzima around 50+++.., alikuwa akiperuz jf na mimi nko pembeni namkata jicho tu..
Asee humu unaweza bishana au mtukana mwenye umri sawa na wazazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…