Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

Akhuuuu thitakiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hutaki hela binti maisha yako ni mafupi miaka 70 wewe hutoboi na motoni unaenda kwanini usile Bata
 
Attachments

  • Screenshot_20230703-214232_(1).png
    Screenshot_20230703-214232_(1).png
    236.6 KB · Views: 4
Ni mwaka wa ku 9 tangu Nilipoanza kuutumia huu mtandao lakini sijawahi kukutana na mdau wa mtandao huu.

Leo nimejaribu kuwauliza colleagues Kama wanaufahamu, wote walikiri kuufahamu lakini wakasema hawautumii.

Nikajiuliza iwapo ni kweli au wanaficha privacy zao. Je, uliwahi kumuona mtu live akitumia JamiiForums?
Mbana njia ni nyepesi tu ....unawajibu natumia JF ila sija jisajili.
 
Mi licha ya kujaribu kuwashawish friends watumie jf hakuna aliekubali [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwaka wa 7 huu sijawahi ona mtu ana app ya jf kwa simu yake [emoji23][emoji23][emoji23]

Jf shida wamiliki wake wamekaa kisiasa, hawataki kuifanya jf as social media, au sehemu ya kibiashara na fun place [emoji23][emoji23]
Na ndo mana natakaga niinunue jf one day nibadili kila kitu
Inawezekana kuna jambo hujalijua
 
Mm bado.

Tutafute namna ya kuu-promote
JF inazidi kudidimia baada ya kuachia kila post ku-trend bila kujali qualities zake. Bora ilivyokuwa zamani kila jukwaa linajitegemea hivyo kama hutaki kusoma eg mambo ya uhusiano, basi huwezi kuona chochote. Kwa kifupi members ambao wanataka ku deal na serious staff hasa ya nchi yetu wanazidi kukimbia na JF inazidi kutawaliwa na vijana wanaume wenye kujadili ngono 24/7. Watu wa seroius satff wanahamia Club House na Tweeter kwa kasi sana.
 
Ni mwaka wa ku 9 tangu Nilipoanza kuutumia huu mtandao lakini sijawahi kukutana na mdau wa mtandao huu.

Leo nimejaribu kuwauliza colleagues Kama wanaufahamu, wote walikiri kuufahamu lakini wakasema hawautumii.

Nikajiuliza iwapo ni kweli au wanaficha privacy zao. Je, uliwahi kumuona mtu live akitumia JamiiForums?
Wewe apo ndio unautmia mbn simple tu
 
Back
Top Bottom