Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

Mbana njia ni nyepesi tu ....unawajibu natumia JF ila sija jisajili.
 
Inawezekana kuna jambo hujalijua
 
Mm bado.

Tutafute namna ya kuu-promote
JF inazidi kudidimia baada ya kuachia kila post ku-trend bila kujali qualities zake. Bora ilivyokuwa zamani kila jukwaa linajitegemea hivyo kama hutaki kusoma eg mambo ya uhusiano, basi huwezi kuona chochote. Kwa kifupi members ambao wanataka ku deal na serious staff hasa ya nchi yetu wanazidi kukimbia na JF inazidi kutawaliwa na vijana wanaume wenye kujadili ngono 24/7. Watu wa seroius satff wanahamia Club House na Tweeter kwa kasi sana.
 
Wewe apo ndio unautmia mbn simple tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…