Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

Mie niliwahi kukutana na mdau mwenzangu wa mtandao huu jamiiforums kwenye usaili wa uma Dala Dala ila sikubahatika kuijua id yake
 
Kwa pumba ninazo type humu afu nijulikane wee thubutuuu!! Baba Paroko anavyowausia mabinti church waige tabia zangu!! Mbona nitatengwa na kanisa nikijulikana [emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi wakiniuliza khs JF nawauliza ndio vitu gani hivyo?!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareee uduguuu.
 
Kwakweli huyu ni mimi kabisa kabisa
Ktk mijadala yote kijiweni kuanzia kiuchumi kisiasa kijamii na mengine mengi wanaaminigi mimi ndio final say
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nna wanangu hao kila kitu watakuja kunichukilia maelezo hawana smartphone hawapo active sana na yanayoendelea duniani ila wana kiu ya kujifunza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…