Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

Kabla ya kuzama pm muhimu walau kujua kabila..haha!!

Humu mtu anaweza kujichanganya namna anavyoweza, hata kufanya utoto anaweza tu akiamua, ndio maana tunajificha.
 
Kabla ya kuzama pm muhimu walau kujua kabila..haha!!

Humu mtu anaweza kujichanganya namna anavyoweza, hata kufanya utoto anaweza tu akiamua, ndio maana tunajificha.
🤣🤣🤣🤣Dah ,muhimu ni ni kufunga PM tu au nadanganya 🙇🙇?
 
Ungekuwa ni mtu wa kujichanganya kwenye usafiri wa umma kama sisi wengine ungewaona ila wewe una usafiri wako binafsi ni vigumu kuwaona.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] JF ndio sehemu ya kuvimba kila mtu ana hela tajiri...mimi kuna mtu namfahamu anacomentigi ana gari kali tena new model wakati kiuhalisia ana IST tena imechoka huwa nasoma nacheka hiiiiiiiiiii ( in mwendazakez voice) nae pigo zake hizo hizo mara holiday kaenda huko na huko wakati hakuna chochote.
 
Nakazia
 

Bibi umepinda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Bibi nioze na mimi kwa hao waarabu, upate khamsa nyingine uje uwachambe tena huku.
 
Kiukweli hata by accident kushika simu ya mtu niktane na app au search history ya jf ni ngumu sana. Mada nying hususan za kimbea humu zinakuwa copy na kupostiwa huko kweny social media . In fact uzi ulionifanya nikaingia jf kwa miguu yote miwili ni ule unaomhusu mtu mmoja anayeitwa db cooper. the rest is history
 
Hata Mimi sitakagi mtu afahamu kuwa Nina account jamiiforums ,na nishaulizwa na watu kadhaa kama ninayo na ninawaambia tu Huwa ninasoma taarifa mbalimbali bila account

Kikubwa sitaki username yangu itambilike na yeyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…