Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

[emoji1787][emoji1787] cloub house kuna ma zero iq mengi na matambo ya kuishi mambele , kuna mpka kocha wa mapenzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndugu yetu .
 
Wazo lako si baya,ila ikiwa na hayo unayoyaona ni muhimu kuwepo haitachukua wiki mbili utakua ni kati ya mitandao ya kijamii ya hivyo kuwahi kutokea,

SABABU
Privacy itapeleka kuwa na post nyingi ambazo maudhui yake hayatokua mazuri, unless otherwise sijui itakuaje hapa kukiwa kama facebook
 
Wewe ni mmoja wapo wa watu wanaoharibu sifa ya jamii forum. Kichwa chako hakina uwezo kabisa wa kuchanganua na kulumbana kwa hoja. IQ Yako imeegemea kwenye uislamu tu
 
Mimi nawafahamu maprofesa wawili wa SUA,mara nyingi tukiwa site (ujenzi), huwa wakutulia wanakuwepo humu.
Nao wanajua kuwa nipo humu hivyo mada za humu tunazitoa nje na kujadili pia.lakini hatujatajiana ID 's
 
[emoji1787][emoji1787] cloub house kuna ma zero iq mengi na matambo ya kuishi mambele , kuna mpka kocha wa mapenzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndugu yetu .
Club House is a very big city. It depends on which neighbourhood are hanging! Masaki? Kwa Mtogole? Oysterbay? Kwa Maparange?
 

Sasa apa mshua si keshakujua tayari umefungua code kbsa[emoji23][emoji23]
 
Hii app n nzuri, ninajifunza mΓ mbo mengi sana humu,,, sema kuna wapuuzi wanaleta nyuzi za kipuuzi Kama ile kula tunda kimasihara

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
We mlongo jidanganye tu. Wale wanachuo wengine hapo kwenye 'KIDULI' wanajua na wanakujua fika wallah..!!
Mlongo hakuna anayejua km mie niko JF, uzuri wake niki log out ya huku nayaacha huku huku, ko hata kuzungumzia nehiii.

Labda mi mwenyewee siku nikiamua niwasanue watu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilipanda gari ya Waziri fulani mwaka 2009 kwa maongezi garini,nikakuta kishikwambi chake kikidisplay Jamii forum jukwaa la Sheria.
Sikubahatika kupata ID yake kwa kweli.

Tukio la pili ni kumuona binti yangu aliyepo UDSM mwaka wa mwisho akiperuzi kwenye jukwaa la Biashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…