Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

mi hapa akija mtu pembeni yangu na switch kwenye browser ingine, kwa kifupi hakuna mtu hapa anajua natumia JF lkn ukweli ni kwamba ndo nashinda JF!!
 
Niko hapa Toka 2016 ..mwaka 2017 kabla sijaama Hilo jiji la hovyo Dar nikiwa kwenye Dala Dala niliona mshua Mmoja mtu mzima yupo Kwa app anaperuzi alivyojua nmeona akatoka chap ..
JF nikama magendo. πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tatizo kunao baadhi yetu tumefanya battles humu kiasi kwamba hutaki mtaani wakujua wewe ndiye yulee jamaa wa JF mwenye kauli tata.
 
siwezi kubaliii... πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Kwaninii?, umesahau wee mtu alikuja hadi PM kukuambia kuwa mie ni hivyoo? Leo unasemaa huwezi kubalii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwaninii?, umesahau wee mtu alikuja hadi PM kukuambia kuwa mie ni hivyoo? Leo unasemaa huwezi kubalii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kwambaa aseme mim ndo rikiboy??? wee ajiheshimuuu shindwaaa pepoooo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…