Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

Mm nalushauri anzisha yako
 
Hata mimi situmii app ila nataka kuwa nayo tatizo nimedonload moja ya hiyo app naona haiko vizuri kama ambavyo natumia bila app, ila naona hii ya bila app iko vizuri, ndio nataka kuidonload nifanyeje?
Kuna notification ya app hapo chini..
Au wee huwa hupati hiyo notification

Ila hii ya bila app ipo poa zaidi.
Ishu za picha hazisumbui.
 
Kuna babu sehemu alikuwa anatumia nae yupo adicted kama mimi tuu simu muda wote blue... alivyo niona alificha faster sijui alinijua... nikahisi bila shaka anaperuzi uzi wa kimasihara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…