YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,155
- 36,337
Udugu anazingua sana
Udugu dish lake analijua mwenyewe, au na nyie mlizidi kumsimangia timu yake, unazani atafanyaje?!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lazima awaleftishe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Udugu anazingua sana
[emoji1787][emoji1787] ulivyo muoga wewe si utatoa mkojo kabisa. Kuna kipindi wahuni wa unga ltd waliniotea. Sema Kuna ambao tulikua tunajuana, waliponiona wakaambiana arifu rudisha ofisi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wakipanga kuzichapa nistue baby nije na mchanga wapute
Ile thread mods waliifuta[emoji23]Udugu dish lake analijua mwenyewe, au na nyie mlizidi kumsimangia timu yake, unazani atafanyaje?!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lazima awaleftishe
[emoji1787][emoji1787] ulivyo muoga wewe si utatoa mkojo kabisa. Kuna kipindi wahuni wa unga ltd waliniotea. Sema Kuna ambao tulikua tunajuana, waliponiona wakaambiana arifu rudisha ofisi.
Ukisikia mtolee ofisi huyo jua imekula kwako, unatolewa jambia
Kweli usingizi naona unakuja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mimi siogopi wewe nikutanishe nao uone, sema bas wasije kunibaka buree wakanifanya mboga!! Bhangi zinazidiana
Afu baby tushasali ujue, twende tukalale
Ni wazi kabisa una matatizo ya kisaikolojia za kisosholojia.Hujijui? Hapo hasara ni kwa wanaokuzunguka
Humu nahisi majini ni wengi sana😂 sijawahi kukutana na neno jamii forum akilii litamka mahali popoteNi mwaka wa ku 9 tangu Nilipoanza kuutumia huu mtandao lakini sijawahi kukutana na mdau wa mtandao huu.
Leo nimejaribu kuwauliza colleagues Kama wanaufahamu, wote walikiri kuufahamu lakini wakasema hawautumii.
Nikajiuliza iwapo ni kweli au wanaficha privacy zao. Je, uliwahi kumuona mtu live akitumia JamiiForums?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chimbooo mbna maubuyu km yoteee. Now yanaishia kule kulee,Zile unaziitaaga sijui za chemba siku hizi huna?mtoto muongo sana wewe[emoji23]
Hapanaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pekua files zako utanijua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyooo anataka nimpe codes, sasa shem ufukunyukuu haumfaiii, afu wa kiume huyoooo.Muwache udugu wangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
atimae umerudi avatani,😃Hakuna anayejua km natumia JF, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee naee, bas kuna chimbo lilipita na Tcra wakati wa pinga pinga ya....Udugu ana story zake hizo za chemba, uongo kama wote[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata anazijuaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usinambie baby?!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nipe moja nicheke
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani kwa simba sikutajaa? Mbna niliwatajaa pia. Km kwa Yanga alitutajia kabwilii mwenyewee, na kuna m1 had anayekulana nae namfahamu, yuko hapo Mbezi Goba.Aliiponda timu yetu yanga kuwa ina wachezaji wameleft group.
Nikaja kugundua kumbe ni kashabiki ka simba
Nipooooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]atimae umerudi avatani,[emoji2]
hiyo ndo avatar yako nayo ifuwagiliaga uache kuweka makorokoroNipooooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyooo anataka nimpe codes, sasa shem ufukunyukuu haumfaiii, afu wa kiume huyoooo.
Hata anazijuaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tafuta kwa nyuzi nilizoanzishaNipe me code hizo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]