Mwakilishi pekee kutoka Afrika aliyekataa kupanda basi ni Rais Sahile Work Zewde wa Ethiopia

Rais wa Ethiopia ana hadhi kuzidi mfalme wa Spain ambaye ana damu karibu na Uingereza? Waliosoma Historia ya ulaya in deep watajua kuwa kuna uhusihanoa kati ya wafalme wote wa ulaya. Wote walipanda basi.
Mawaziri wakuu wa Australia, New Zealand na nchi karibu zote zilizohudhuria walipanda basi hii ni kwa usalama wa viongozi. Mabasi yale yaliandaliwa na ulinzi ndani na nje ili kuwafikisha salama mwendo wa Km. kama tatu toka meeting point mpaka kwenye mabasi hayo.

Wakati Magufuri anaapishwa mwaka 2015 mabalozi wote na viongozi wa mashirika ya umoja wa mataifa, wote walipanda mabasi hii ni kwa usalama wao. Je kama ilitokea kwa magufuri ikawa sawa, iweje kwa malkia kuwa nongwa?

Nchi nyingi sasa hivi zinatumia mabasi kufika mahali pa tukio kuepuka mlolongo wa magari na traffic ambayo italeta usumbufu kwa raia pia.
k
 
upotofu gani wewe...nimestroke nikaweka Iran ndiyo nimeiwekea farsi au hukufundishwa shule? kwa taarifa yako farsi is among the minority languages za iraq ukiachilia zingine kubwa kama arabic, kurdish, Turkmen,Syriac na armenian
Unazingua,kwa hiyo Iraq alikotoka Ibrahim ni arabuni au uajemi!?
 

WENDA unayo hoja shida ni pale unapoanza tukana/ kebehi KWa kuita watu tahira

Hakuna aliesema viongozi wakuu ,Rais,vice, pm wasiwe na usafiri mzuri, watu/ au sie twasema misafara mikubwa na mikwara kibao plus mapambio TOKA wale mwajiita system hayana tija ,Kama sio matumizi mabaya ya kodi za wananchi, kwani rais akiwa msafara wa gari 4, na vice,pm wakiwa na msafara wa magari mawili haitoshi?

Nyie mjiitao system ,mma Tabia ya kutia viongonzi wa kitaifa Hofu Sana, na hii Hofu ya system KWa watawala Rais wa Zambia ameishinda , hivi kweli tz hii nani au yupi mwananchi bila kujali itikadi ya vyama,kabila dini, Rais wa nchi hii akakanyaga aridhi yake na nyumbani kwake mfano, asione Kama muujiza, asifurahi, asishangilie moyoni wake, nijibu


Acheni Bwana, na Mungu anawaonya ,ni maadui GANI Kama nchi tunao eti mpaka chopa juu, msafara wa magari 100 acheni hizi,

Apo nimemaliza KWa upande wa viongozi wakuu wa Taifa

Naja KWa Mawaziri, makatibu wakuu, wakurungenzi ,wabunge, wakuu wa Mikoa na wilaya,

Nakuuliza Hawa nao ni lazima tumia gari za gharama? WENDA mie tahira ila nijibu

Alie sema kwamba magari yote mazuri with low coast ya mafuta,vipuri n.k ni v8 na hakuna mengine nani? Na je unabariki Tz kuwa Shamba la bibi? Au hu mnufaika?

Usipojibu maswali yangu futa kauri YAKO na nitake radhi, ukijibu nitarudi jf ni nyumbani

 
Nimnukuu mdau mmoja wa humu jamvini,"Harsh reality of capitalism ni kwamba, HAKUNA OMBAOMBA ANAYEHESHIMIKA".
 
Je, haya yametokea kwa bahati mbaya? Wamekataa kutawaliwa na hao Wazungu.

Pili Raisi wao amekataa kuswekwa kwenye Basi ambalo ameona ni kama dharau.

Sisi, tumekubali kutawaliwa tumekubali kusombwa kupekekwa Utumwani.

Tumekubali kuswekwa kwenye Basi.
 

Wakumbushe hata alivyokuja Tanzania jinsi walivyokua wanashughulika na kusimamia suala Zima la ulinzi wa rais wao.
 
Ana closed mind set tu huyo, hapa anavuta hewa ileile wanayovuta wengine, anakunywa maji hayahaya wanyokunywa wote, akifa anazikwa ardhini wanakozikwa wengine, anafungwa kwenye sanda ya kitambaa kama wengine, hiyo status inampa nini cha zaidi kama siyo ulimbukeni tu
 
Ashauriwe atafute hela
 
Ethiopia ni falme pekee ambayo haikuwahi kutawaliwa na mkoloni Afrika, hao jamaa hata dini haikuingia kwao , si ukristu wala uislam.
Hata kuandika wana namna yao , hawatumii hizi alphabet ,
Kiufupi ni watu wenye misimamo tokea enzi hizo
Miaka zaidi ya 800 iliyopita Mfalme Lalibela alichonga kanisa kwenye mwamba baada ya kuzuiwa na waislamu kwenda kuhiji Jerusalem. Utasemaje kuwa ukristu haukuwahi kuingia Ethiopia?
 
Hii mjadala haujaisha?

Ethiopia ndio kwa akina Simon Mkirene aliyebeba msalaba wa Yesu
Simon Mkirene (Simon of Cyrene) alitokea Libya, siyo Ethiopia.
Wakati wa kusulubiwa kwa Yesu Kristo, Uyahudi ilikuwa koloni la Rome. Libya pia iliwahi kuwa koloni la Rome, na ndio ilivyokuwa uhusiano wa kuwepo movements za watu wa Cyrene, Uyahudi na Rome katika maeneo hayo, hata ikapata kutokea siku ile ya mateso ya Yesu Kristo mtu huyo wa Cyrene aitwaye Simon naye alibambwa njiani akaingizwa kwenye mkumbo. Na wakati huo Libya ilikuwa ya weusi.
 
Waafrika ni watu wa ovyo kabisa kwenye ulimwengu, yani hata waziri mkuu wa Canada alipanda basi na hakulalamika na wala raia wake hawakulalamika. Waafrika tu ndio wanahisi wametukanwa, Oumbav kabisa sisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…