Mwakilishi wa Kampuni ya N-Card: Taarifa inayosambaa kuhusu Yanga SC kuizidi Simba SC mapato ni Uwongo

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
"Moja ya Makubaliano ya Kisheria tukiingia na hivi Vilabu vya Simba na Yanga katika Matamasha yao ni kutotaja Mapato yao na hiyo Taarifa inayosambaa kuwa Sisi N-Card tumesema Yanga SC imeizidi Simba katika Mapato ya Matamasha yao ni ya Uwongo na ipuuzwe imeandikwa na Waandishi Wahuni" amesema Bwana Geofrey Mwakilishi wa Kampuni ya N-Card muda mfupi akihojiwa na Mtangazaji Said Kilumanga wa EFM katika Kipindi cha Michezo cha E-Sport cha Usiku huu.

Mnahangaika mno kutaka Kuzima Tukio Kubwa la Simba Day la Jana ambalo limefana vilivyo, limefunika Matukio yenu yote na kuwa Gumzo kote Ulimwenguni.

Hii ndiyo Simba SC Kudadadeki zenu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…