Makwizi Band
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 2,691
- 4,057
😃 😀 😄 😁 🤣 😂 Suleiman alikua muislam? 😃 😀 😄 😁 🤣 😂 😃 interestingKwani hujui kama nabii Suleiman ni muislamu? Na huo msikiti mtume kaswali hapo na maeneo yote hayo ni matukufu? Waisraeli wenyewe wanajua ndio maana mpaka leo wanasita kupabomoa na hivi vita kati yetu haitakwisha.. ndio ujue kwanini hivi vita haitakwisha
Quran 17:1
Labda anamaanisha Suleiman aliejenga huo msikiti WA al aqsa..Yule alikuwa Suleiman WA uturuki yeye alikuwa muislam wakati WA ottoman empire walivunja hekalu na juu ya misingi ya hekalu wakajenga msikiti unaouona Hadi leo..Lakini Suleiman aliejenga hekalu yeye alikuwa myahudi WA dini ya kiyahudi mtoto WA King David..😃 😀 😄 😁 🤣 😂 Suleiman alikua muislam? 😃 😀 😄 😁 🤣 😂 😃 interesting
Kaka, kwa clarification nilioifanya pale ju bado hajui kuwatofautisha au anafanya makusudi? Or may be Waislamu wengi wanadhani huyo Suleiman Mturuki ndio Suleiman huyu ambaye Wakristo wanamsoma kwenye Biblia? Same as wanavyo wachanganya Yesu na nabii Issa; wale sio mtu mmoja wallah. Maanake kuna mmoja kazaliwa chini ya Mtende na mwingine kazaliwa kwenye zizi la wanyama ile sehemu ya kulishia wanyama/ng'ombeLabda anamaanisha Suleiman aliejenga huo msikiti WA al aqsa..Yule alikuwa Suleiman WA uturuki yeye alikuwa muislam wakati WA ottoman empire walivunja hekalu na juu ya misingi ya hekalu wakajenga msikiti unaouona Hadi leo..Lakini Suleiman aliejenga hekalu yeye alikuwa myahudi WA dini ya kiyahudi mtoto WA King David..
Namanisha huyo huyo mtoto wa kingi David, baba yake ni muislamu prophet Daud A.S. Hilo kwako ni somo kubwa hutaelewaLabda anamaanisha Suleiman aliejenga huo msikiti WA al aqsa..Yule alikuwa Suleiman WA uturuki yeye alikuwa muislam wakati WA ottoman empire walivunja hekalu na juu ya misingi ya hekalu wakajenga msikiti unaouona Hadi leo..Lakini Suleiman aliejenga hekalu yeye alikuwa myahudi WA dini ya kiyahudi mtoto WA King David..
Nakukumbusha tu..Leo ni mwaka WA 1446 kulingana na kalenda ya kiislam...Je! Unataka nikwambie tena umri WA dini yako ya kiislam??Namanisha huyo huyo mtoto wa kingi David, baba yake ni muislamu prophet Daud A.S. Hilo kwako ni somo kubwa hutaelewa.
Unaelewa maana ya uislamu? Maana isiwe tunapigishana kelele tu humuNakukumbusha tu..Leo ni mwaka WA 1446 kulingana na kalenda ya kiislam...Je! Unataka nikwambie tena umri WA dini yako ya kiislam??
Pili,,, Muislam WA Kwanza alikuwa Mtume wako Muhammad na Muislam WA pili alikuwa Bi khadija Je! Unajua Suleiman mtoto WA King David aliishi kabla Yao??
Tatu,,,wakati uliopita na present na wakati uliofuata WA msikiti WA al Kaaba ulifungamana na kabila la waqureish je myahudi alie km 1400 anahusikaje na uislam???
Na kweli hutoweza kunielewesha maana katika Hilo eneo Nina mengi ya kukuelewesha Wewe kuliko kunielewesha Mimi...Kwa kifupi ujue ule msikiti unawakilisha wakati na ni aibu ilio katikati ya wayahudi..Lakini upo Kwa mda Tu mpaka utakapovunjwa.Lakini naogopa kukwambia pindi utakapovunjwa utakuwa ni wakati umeenda sana,,na kila atakaekuwa hai itakuwa ni wakati wa kuamua hatma yake binafsi....Yaani utakuwa ni wakati ulioenda Sana..Hilo kwako ni somo kubwa hutaelewa
Na kweli hutoweza kunielewesha maana katika Hilo eneo Nina mengi ya kukueleweaha Wewe kuliko kunielewesha Mimi...Kwa kifupi ujue ule msikiti unawakilisha wakati na ni aibu ilio katikati ya wayahudi..Lakini upon Kwa mda Tu mpaka utakapovunjwa.Lakini naogopa kukwambia pindi utakapovunjwa utakuwa ni wakati umeenda sana,,na kila atakaekuwa hai itakuwa ni wakati wa kuamua hatma yake binafsi....Yaani utakuwa ni wakati ulioenda Sana..
Nadhani unatakiwa uitafute maana ya uislam..Kwa maana Suleiman mtoto WA King David hakuwahi kuwa muislam hata siku moja...Cc hamis77Unaelewa maana ya uislamu? Maana isiwe tunapigishana kelele tu humu
Alikanyaga physical au aliashiria ktk ndoto.. Maana Mtume wenu mmebainishiwa Tu kwamba wakati ameshakufa ndio alipitia Jerusalem kupata kwenda huko Firdausi.baada ya mtume kukanyaga hapo na kuswali pamoja na manabii wengine
Huu ni upuuzi na uzushi ambao mwenye akili timamu hawezi kuukubali na lazima ahojiHuo msikiti unaheshima kubwa sana kwa dini yetu baada ya mtume kukanyaga hapo na kuswali pamoja na manabii wengine
Quran 17:1
Mnapenda kujitoa akili,Namanisha huyo huyo mtoto wa kingi David, baba yake ni muislamu prophet Daud A.S. Hilo kwako ni somo kubwa hutaelewa
Wewe ni nani kuichallenge quran 17:1 unless hujui maana ya uislamu. Kuna wakristo wengi tuu na wayahudi ambao ni waislam na kuna waislam wengi tu amani si waislam, hivyo kuwa muislam ni haina nyakati maalum Uislam ni muongozo alipewa Adam As, hivyo unaenda usiobadilika kulingana na jamii husika, Yes Kuna kipindi ambacho uyahudi ndio ulikua uislam wenyewe kipindi cha nabii Suleiman,daudi, Yusuphu na wengineHuu ni upuuzi na uzushi ambao mwenye akili timamu hawezi kuukubali na lazima ahoji
Msiwe mnakubali kila kitu aisee ,
Kwanza, Msikiti wa Al-Aqsa katika muundo wake wa sasa haukuwepo wakati wa maisha ya Muhammad. Tukio la Isra na Miraj linadaiwa kutokea mwanzoni mwa miaka ya 620 BK, wakati huo Yerusalemu ilikuwa chini ya utawala wa Dola ya Kikiristo ya Byzantium (Byzantine Empire). Kwa mujibu wa historia ya Kiislamu na hata ya Kiyahudi na Kikristo, hapakuwa na msikiti wowote uliosimama katika eneo hilo hadi baada ya Waarabu Waislamu kuliteka jiji hilo mnamo mwaka 638 BK miaka kadhaa baada ya kifo cha Muhammad (ambaye alifariki mwaka 632 BK). Hivyo basi, haiwezekani kimantiki na kihistoria kusema Muhammad aliswali kwenye msikiti ambao haukuwepo bado.
Your crazy, rudia kusoma ayadAlikanyaga physical au aliashiria ktk ndoto.. Maana Mtume wenu mmebainishiwa Tu kwamba wakati ameshakufa ndio alipitia Jerusalem kupata kwenda huko Firdausi.
Ndugu kwanini unaendelea kudanganya ? Toka nje ya box halafu ruhusu akili yako iwe huru,Wewe ni nani kuichallenge quran 17:1 unless hujui maana ya uislamu. Kuna wakristo wengi tuu na wayahudi ambao ni waislam na kuna waislam wengi tu amani si waislam, hivyo kuwa muislam ni haina nyakati maalum Uislam ni muongozo alipewa Adam As, hivyo unaenda usiobadilika kulingana na jamii husika, Yes Kuna kipindi ambacho uyahudi ndio ulikua uislam wenyewe kipindi cha nabii Suleiman,daudi, Yusuphu na wengine
Kwani hujui kama nabii Suleiman ni muislamu? Na huo msikiti mtume kaswali hapo na maeneo yote hayo ni matukufu? Waisraeli wenyewe wanajua ndio maana mpaka leo wanasita kupabomoa na hivi vita kati yetu haitakwisha.. ndio ujue kwanini hivi vita haitakwisha
Quran 17:1