Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 16,378
- 13,198
Utaachia Mateka? au utaendelea kulia na wewe na kumtusi Netanyahu? nataka niwaone mkiwalazimisha Hamas waache Mateka nione kama nyie ni watu au vichaa..Kinachoendelea sasa hivi huko Gaza ni zaidi ya kilichotokea Oktoba 7!
Yaani uteke wanangu alafu nisikukung'ute yaani nitakupa kichapo hadi urejeshe wanangu hata Dunia ikifika mwisho kiufupi sisikii chochote kama hujui uchungu wa Kuzaa kazae kisha watoto wakitekwa ndio utasema Hamas wazuri