Mwakilishi wa Palestina Umoja wa Mataifa aangua kilio!

Mwakilishi wa Palestina Umoja wa Mataifa aangua kilio!

Masharti yapi? Ni nani walivunja ceasefire? Mateka si ilikubaliwa watarudishwa? Why myahudi mwenye asili ya Poland Benjamin Mileikowsky ambaye ni waziri mkuu wa dola ya kigaidi ya kivamizi ya kizayuni alikataa na analazimisha mashambulizi badala ya ceasefire ili mateka warudi?
😳😳🙄😧😩😂😂
 
Idf aongeze dozi tuu.. Kama hujaishi nao makobaz ndio lugha wanaelewa tuu
 
Tayari sasa cha kwanza saudia kaharibu hiki kingine stay blessed with Yemeni missiles
 
Attachments

  • IMG_20250529_193432_400.jpg
    IMG_20250529_193432_400.jpg
    41.9 KB · Views: 14
🇮🇱\🇾🇪 A football game at Tel Aviv’s Bloomfield Stadium was halted after Yemeni missile alerts triggered air raid sirens.
 
Inatia simanzi kwa kweli!

Wote waliosababisha hayo madhila ya sasa, walaaniwe milele [if there’s such a thing].

Hamas are no heroes. They are suckers and losers.

Yahya Sinwar and Co. are punks and deserved everything they got and then some.

What kinda hero puts their people through such hell?

October 7 didn’t accomplish anything other than bring misery to the majority of Gazans.

Shame on the entire world for letting a genocide continue to happen in Gaza.

Those people are human beings, for god sake!

When will the world say enough is enough?

Oh, btw, Benjamin Netanyahu, *** you and your whole entire government, too.

Ina uma sana ila Hamas watabeba dam ya yote yalio tokea. Hamas waliwauwa wa Israel na kuwabaka nimauwaji mabaya sana sina uhakika kama kizazi cha walio husika kitabaki hai. Historia inasema Israel mara zote walikuwa wakiangamiza mji mzima mpaka wanyama. Nimoja ya mataifa wana revange mbaya pindi ukimwaga dam yao...
 
Bonge hili likaanga sumu wamelifyàtua mtoto mdogo mwili jumba
 
Attachments

  • IMG_20250529_201550_239.jpg
    IMG_20250529_201550_239.jpg
    142.9 KB · Views: 13
Ina uma sana ila Hamas watabeba dam ya yote yalio tokea. Hamas waliwauwa wa Israel na kuwabaka nimauwaji mabaya sana sina uhakika kama kizazi cha walio husika kitabaki hai. Historia inasema Israel mara zote walikuwa wakiangamiza mji mzima mpaka wanyama. Nimoja ya mataifa wana revange mbaya pindi ukimwaga dam yao...
Sawa, Hamas wamesababisha yote haya.

Lakini Israel ni lazima iwe na restraint. Watoto wa Kipalestina hawakuwaua watoto wa Kiisrael.

Ua maghaidi. Watoto wa miaka 2,3,4,5….unawaua kwa nini? Wametenda makosa gani?
 
Saudi ni waislamu wenzenu acha chuki!!!
Uislamu sio maneno ya mdomoni yeyote anayeungana na muovu ni katka wao, hayo matrilioni ya pesa yanayotolewa kwenda kuua Gaza uislamu hauko hivyo mimi siwahukumu uislamu wao watajuana na wapiga hesabu atakaeshinda mzani sawa ni kheri yake. Walipwe kwa wanayoyafanya
 
Inasikitisha sana
Very sad for the people who use sense, but they don't have sense at all because of the curse.

don't be sad be happy because you have sense, and you know this world is not your home.

Those stupids they have barbaric mindset and think this Is the stone age of fighting against land and not sense, they are educated but without sense, thats how God pay you when you search knowledge without his mercy, that knowledge will became your punishment and fool will laugh at you, and Wise man will cheer a fool by having sense without knowledge.
 
Ua maghaidi. Watoto wa miaka 2,3,4,5….unawaua kwa nini? Wametenda makosa gani?
Vita haina macho na haiwezi Kuwa selective...Hao watoto wanakufa kutokana na collateral damage..Na ni dalili kuwa family za Hao wapalestina watoto na vijana ndio wengi..Ni jamii yenye upungufu WA wazee ndio maana Wana maamuzi yasio na wisdom ndani yake na wapumbaf Sana.
 
Dunia nzima sio wajinga, media mnazochezeshwa na mzayuni ndio zimewapumbaza mbona Urusi huwezi sikia collateral damage ya kiwango hicho? Yaani ufagia kila jengo lililosimama katka mji useme ni collateral damage? Uzuie chakula gza nzima useme ni collateral damage! Watoto karibu elfu 30 useme ni collateral damage? Hospital zote, umeme, maji waandishi, madaktari mpaka mashamba, kambi za wakimbizi mpaka asasi za kiraia collateral damage? Hell no! Sikilizeni hata kauli zao mtajua wale jamaa wanamaana gani very stupid race to ever happen in this world.
 
Attachments

  • VID_20250526_100032_873.mp4
    1.5 MB
Ameitaja October 7 lakini? Bila kutaja hiyo siku huo ni unafiki wa kiwango cha 10G. Apuuzwe!
Hakika. We huwezi kuua wenzako halafu wa kwako wakiuliwa ndo ulie na kulalamika. kwani wengine mliowauwa siyo watu?
 
mnazochezeshwa na mzayuni ndio zimewapumbaza mbona Urusi huwezi sikia collateral damage ya kiwango hicho? Yaani ufagia kila jengo lililosimama katka mji useme ni collateral damage?
Gaza ndani ya square metre 1 kuna watu sio mtu mmoja..Watu million 2 wanaishi katika eneo linalotosheleza watu laki 4 kama kukipangiliwa..Hii inatosha kukuonyesha maradhi,,njaa ña madhara ya kila Aina yako karibu kuwapata...Ukraine hawaishi Kwa kurundikana kama hio mbagala ya gaza.ndio maana urusi akishambulia Kwa drone 200 zitauwa watu 6au wanne.Lakini Kwa drone hizo 200 angeshambulia Gaza angeua watu 800 au 1000.Kwa sababu watu wamejazana wengi eneo dogo.
 
Hio sababu haina mashiko ndio maana kuna intelligence katika kitengo cha jeshi kuna video nikitulia nitakuwekea hapa jinsi wanabehave wanajeshi wa mzayuni sniper wa Kizayuni anamtungua mwandishi mpaka anakufa, anafungua mtu asiye na silaha, anafyatua silaha za moto kwenye mgao wa chakula, wanakamatwa vijana na kuteswa magerezani wengine kuuawa, nilisha sema humu mara kibao, mavi hayasafishwi mzayuni hasafishiki. Ukata nzima akikataliwa Hitler hakuwa mjinga waliwasumbua wajerumani, wakisumbua Musa, Yesu, Firauni hakuwa mjinga kuwachinja this race is stupid and staborn.

Nikuulize swali hivi wewe Mungu akikupa chakula kutoka mbinguni kila siku utamkataa? Unapata wapi ujasiri wa kukataa chakula kutoka kwa Mungu? Chakula baraka kitoke tuu kwa yeyote iweje Mungu? Huwezi kuwatetea hakuna binadamu alikuwa mwerevu duniani na kwa level ya ulimwengu wa kuanzia Mussa kumshinda nabii Musa A.s lakini alikubali alichoka..leo hivi hawatakaa watulie kwasababu mpalestina akipata nguvu kuu kama wao tu itaanza cycle nyingine
 
Back
Top Bottom