Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Niliona Tangu round ya Kwanza, Mwakinyo aliteleza, nikajiuliza inawekanaje avae viatu vinavyoteleza Tena Kwa big match kama hii? Same thing happened kwa round ya pili na ya tatu. Kumbe walijenga mazingira ya kumpotezea bag lake la vifaa vya mchezo na Hivyo last minute kupewa viatu vingine, pili alishampa Refa signal kuhusu ankle na hivyo Refa alitakiwa kusimamisha pambano Ili kujua shida Nini ila Refa alipeta ....
Msikilize hapa.
Msikilize hapa.