Mwakinyo akiri kufanyiwa hujuma kubwa sana, inaumiza sana!

Mwakinyo akiri kufanyiwa hujuma kubwa sana, inaumiza sana!

Hahah chai...ipo katika haya maneno "nimepewa viatu vingine..."

Umepewa na nani bwana wakati kitu kama hicho timu yako inawezza kukinunua, upo UK Mwakinyo na sio Somalia...

Halafu huwa hana pair kadhaa za gloves, zile bukta, soksi, kilinda meno, mafuta yale wanapaka je hivyo havikupotea?
 
Niliona Tangu round ya Kwanza, Mwakinyo aliteleza, nikajiuliza inawekanaje avae viatu vinavyoteleza Tena Kwa big match kama hii? Same thing happened kwa round ya pili na ya tatu. Kumbe walijenga mazingira ya kumpotezea bag lake la vifaa vya mchezo na Hivyo last minute kupewa viatu vingine, pili alishampa Refa signal kuhusu ankle na hivyo Refa alitakiwa kusimamisha pambano Ili kujua shida Nini ila Refa alipeta ....

Msikilize hapa.

Mpumbavu yeye na timu yake yote , kweli huwezi kuona kama hiyo ni hujuma hata kabla ya mchezo??, eti bag lipotee halafu wao wapinzani wako wakupatie viatu??--- kweli Waafrika bado hatuwajui Wazungu, ni Mrusi tu ndio anawajua wazungu wenzake.
 
Kuna Jamaa Jana alibet akamwekea Mwakinyo 700,000 sijui ana hali gani huko mda huu baada ya pambano kuisha

Mwakinyo angeshinda Jamaa alikua anavuta 70,000,000
 
Mpumbavu yeye na timu yake yote , kweli huwezi kuona kama hiyo ni hujuma hata kabla ya mchezo??, eti bag lipotee halafu wao wapinzani wako wakupatie viatu??--- kweli Waafrika bado hatuwajui Wazungu, ni Mrusi tu ndio anawajua wazungu wenzake.
Hapa amechemka kweli ilibidi awe navyo mda wote ingewezekana angevaa kwenye ndege kabisa
 
Akubali tu kapigwa kwann asingetuambia toka mwanzo beg lake limepotea

Kapigwa ndio anasema vp angeshinda angetuambia na hili,?

Kama Kawaida yetu watz kulalamika hata kwa vitu vya waz

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Tena ni heri amekutana na Liam Smith angekutana na Callum Smith angemmaliza kabisa,

Hatuendelei kimichezo kwasababu tunafake,

Ushindi wa kupendelea Nyumbani, Mapambano ya kununua,

Sasa hivi Mandonga ananunuliwa Mapambano ili aonekane ana rekodi nzuri watu waje wapige hela,

Ila akija kutoka nje ya nchi tutapata aibu na Mabondia wetu hawatasainiwa na kupata mapambano nje kwasababu tutaonekana hatuna viwango!

Chanzo kufoji matokeo kwa kisingizio cha kizalendo kumbe tunaua michezo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu unataka kusema lile pambano la Kwanza la nje la Mwakinyo alifoji ushindi wake?

Kwanini hatujikubari lakini

Akishinda wa kwetu akipoteza tunamkana sio wetu, yote kwa yote huu ni mchezo kuna matokeo lolote linaweza tokea uwanjani

Ila kwa Mandonga nipo na wewe

Kwa Mwakinyo Big No
 
Mwakinyo alikuwa anamfua vizuri yule muingereza shida ni kukubali zile £56,OOO ili aonekane kashindwa. Ni utoto ambao hata Anthony Joshua anafanyaga.
Una uhakika mkuu?

Maana watu wamepoteza mamillion kwenye betting kwa ajili yake basi ikiwekana akitua aweke wazi ili waliopoteza pamoja nae waambulie chochote kwenye huo mkate alioupata

Ingawa kwa Mimi naamini ni sehemu ya mcheeezo mchezo wowote km wewe ni mwanamichezo utajua kuna kupata au kupoteza hauwezi kupata kila siku it's unpredictable when you're on the pitch lolote laweza kutokea
 
Hatutaki!! Kashapigwa huyo maneno kibao kama dalali
 
Maswali ni mengi yakujiuliza kutokana na maelezo aliyatoa.
Ila pambano ameshindwa kwakweli
Nami, nimefurahi kushindwa kwake. Jamaa, alishawadharau mabondia woooote wa Tanzania. Hata wakishinda wenzie, alikuwa anadai walikuwa wanapigana na walevi!
Ana dharau sana huyo dogo!
 
Back
Top Bottom