Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
- Thread starter
- #21
Shukrani, ngoja nirekebisheSio anchor ni ankle
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani, ngoja nirekebisheSio anchor ni ankle
Hamna kitu keshavuta mpunga basi akae kimya.Kanogewa anataka.mpunga mwingineKaomba rematch, tumpe muda
Hahaha 🤣 naenda ibadanihaya kashunda...😁
Sidhani kama ni kweliHamna kitu keshavuta mpunga basi akae kimya.Kanogewa anataka.mpunga mwingine
Begi lake mmeliweka wapi?Akubali tu kapigwa kwann asingetuambia toka mwanzo beg lake limepotea
Kapigwa ndio anasema vp angeshinda angetuambia na hili,?
Kama Kawaida yetu watz kulalamika hata kwa vitu vya waz
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo unamwamini sababu yake aliyotoa ya kupewa viatu vinavyoteleza?Sidhani kama ni kweli
Hahahaha.....safari njema mkuu...Hahaha 🤣 naenda ibadani
Begi la viatu vyake badala ya kuwa nalo yeye aliweka wapi? Viatu viwili navyo vinahitaji begi si angeweza tembea navyo hata kwenye mfuko wa ramboBegi lake mmeliweka wapi?
Shukrani Sana sana ila sio kwa MwamposaHahahaha.....safari njema mkuu...
Hahaha si Wazungu?Kulikuwa hakuna maduka ya kununua viatu vingine? Wewe upewe viatu na wapinzani wako uamini ni upendo huo?
Hahaha 😂 wewe jamaaBegi la viatu vyake badala ya kuwa nalo yeye aliweka wapi? Viatu viwili navyo vinahitaji begi si angeweza tembea navyo hata kwenye mfuko wa rambo
Niliona Tangu round ya Kwanza, Mwakinyo aliteleza, nikajiuliza inawekanaje avae viatu vinavyoteleza Tena Kwa big match kama hii? Same thing happened kwa round ya pili na ya tatu. Kumbe walijenga mazingira ya kumpotezea bag lake la vifaa vya mchezo na Hivyo last minute kupewa viatu vingine, pili alishampa Refa signal kuhusu ankle na hivyo Refa alitakiwa kusimamisha pambano Ili kujua shida Nini ila Refa alipeta ....
Msikilize hapa.
Hahaha turudi kule tukamshauri Yule Jamaa, Huku tuuachie wengineKwa hiyo unamwamini sababu yake ya kupewa viatu vinavyoteleza
Miaka yote hajui.kiatu kizuri kikoje?
Hakukikagua kabla ya kukivaa.Alipokuwa akikivaa alikuwa kipofu au walimfunga kitambaa machoni masikioni.Hajui solid za kiatu kizuri kwa pambano kikoje?
Ilikuaje viatu vyake mwenyewe ashindwe kuvipa ulinzi wa kutosha au kuwa navyo.full time?
Mwakinyo Muongo kauza pambano huyo .Takukuru msiishie ofisini tu nendeni.na kwa akina Mwakinyo
HapanaKukiri?