Mwakinyo akiri kufanyiwa hujuma kubwa sana, inaumiza sana!

Mwakinyo akiri kufanyiwa hujuma kubwa sana, inaumiza sana!

Huyo naye akubali kagongwa tu.. asitafute visingizio vya kipuuzi
 
U
Una uhakika mkuu?

Maana watu wamepoteza mamillion kwenye betting kwa ajili yake basi ikiwekana akitua aweke wazi ili waliopoteza pamoja nae waambulie chochote kwenye huo mkate alioupata

Ingawa kwa Mimi naamini ni sehemu ya mcheeezo mchezo wowote km wewe ni mwanamichezo utajua kuna kupata au kupoteza hauwezi kupata kila siku it's unpredictable when you're on the pitch lolote laweza kutokea
siongee bab kuna mwanangu jana saa 11 jioni katia million 1! Sijamuona online hadi sahizi
 
U

siongee bab kuna mwanangu jana saa 11 jioni katia million 1! Sijamuona online hadi sahizi
Watu baada ya pambano wamepoteana kabisa kila mtu kapita njia yake

Mwakinyo alipokua anahojiwa interview ya Kwanza nasikia alikua anacheka means anawacheka wazee wa betting wamemwekea alafu wamepunwa na wengi walijua atashinda ila wapi

Mwakinyo kawa km Mandonga round ya nne tu chaaaali wapi Shaban Kaonekaaaa wa UK, daah inaumiza ila ndio ishatokea

Watu waliomwekea Mwakinyo Jana wamepunwa sio kawaida na waliweka parefu mtu anajaza tu million 3/4/5/7/10 anajua Mwakinyo anashinda aaaha wapi
 
Tupeni uzoefu mnaotumia ndege, hivi ukiwa unasafiri kwenye ndege, hauwezi kuingia na kabegi kadogo (lasketi) kenye viatu na gloves ukakaweka kwenye keria kama vile kwenye mabasi?
 
Begi la viatu vyake badala ya kuwa nalo yeye aliweka wapi? Viatu viwili navyo vinahitaji begi si angeweza tembea navyo hata kwenye mfuko wa rambo
Dah
Watu mnagongesha glass baada ya Mwakinyo kukandwa🤣
 
Mimi binafsi baada ya pambano la jana heshima yangu kwa mwakinyo imekufa kifo cha mende..hafai kuitwa bondia mkubwa tena na hakuna hata haja ya rematch....ukiweka hela mbele bila ya kuangalia future ya carrier yako ni mbaya sana
 
Back
Top Bottom