Mwakinyo akiri kufanyiwa hujuma kubwa sana, inaumiza sana!

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Niliona Tangu round ya Kwanza, Mwakinyo aliteleza, nikajiuliza inawekanaje avae viatu vinavyoteleza Tena Kwa big match kama hii? Same thing happened kwa round ya pili na ya tatu. Kumbe walijenga mazingira ya kumpotezea bag lake la vifaa vya mchezo na Hivyo last minute kupewa viatu vingine, pili alishampa Refa signal kuhusu ankle na hivyo Refa alitakiwa kusimamisha pambano Ili kujua shida Nini ila Refa alipeta ....

Msikilize hapa.

Your browser is not able to display this video.
 

Baada ya kuona anchor yake Ina shida asingeendelea akadai badili viatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…