Mwakinyo akiri kufanyiwa hujuma kubwa sana, inaumiza sana!

Asilalamike sana kwanza ni pambano la kirafik na tatzo lingne wadau wanadhamin wabovu...mwakinyo bila yule babu wa handen si lolote amtafute wayamalize harafu ajipange ki rose muhando
 
Sidhani kama ni kweli
Kwa hiyo unamwamini sababu yake aliyotoa ya kupewa viatu vinavyoteleza?

Miaka yote hajui kiatu kizuri kikoje?
Hakukikagua kabla ya kukivaa.Alipokuwa akikivaa alikuwa kipofu au walimfunga kitambaa machoni .Hajui soli za kiatu kizuri kwa kikoje?

Ilikuaje viatu vyake mwenyewe ashindwe kuvipa ulinzi wa kutosha au kuwa navyo.full time?

Mwakinyo Muongo kauza pambano huyo .Takukuru msiishie ofisini tu nendeni.na kwa akina Mwakinyo
 
Kukiri?
 
Hahaha turudi kule tukamshauri Yule Jamaa, Huku tuuachie wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…