Niliona Tangu round ya Kwanza, Mwakinyo aliteleza, nikajiuliza inawekanaje avae viatu vinavyoteleza Tena Kwa big match kama hii? Same thing happened kwa round ya pili na ya tatu. Kumbe walijenga mazingira ya kumpotezea bag lake la vifaa vya mchezo na Hivyo last minute kupewa viatu vingine, pili alishampa Refa signal kuhusu ankle na hivyo Refa alitakiwa kusimamisha pambano Ili kujua shida Nini ila Refa alipeta ....
Msikilize hapa.
https://www.facebook.com/
Ni mpuuzi, alitakiwa aubebe ndani ya ndege na sio kuuweka kwenye boot.Basi bado ni amateur tu! Ukiwa na pambano hand luggage yako ni vifaa vyako vya kazi! No something is wrong somewhere
Huyo sasa NDIO GamblerKuna Jamaa Jana alibet akamwekea Mwakinyo 700,000 sijui ana hali gani huko mda huu baada ya pambano kuisha
Mwakinyo angeshinda Jamaa alikua anavuta 70,000,000
Hapa amechemka kweli ilibidi awe navyo mda wote ingewezekana angevaa kwenye ndege kabisaMpumbavu yeye na timu yake yote , kweli huwezi kuona kama hiyo ni hujuma hata kabla ya mchezo??, eti bag lipotee halafu wao wapinzani wako wakupatie viatu??--- kweli Waafrika bado hatuwajui Wazungu, ni Mrusi tu ndio anawajua wazungu wenzake.
Hao wanaitwa wazee wa kujilipua ila angeshinda Mwakinyo pasingetoshaHuyo sasa NDIO Gambler
Aiseeee nitajaribu next time ila Sio kwenye mpiraHao wanaitwa wazee wa kujilipua ila angeshinda Mwakinyo pasingetosha
Tena ni heri amekutana na Liam Smith angekutana na Callum Smith angemmaliza kabisa,Akubali tu kapigwa kwann asingetuambia toka mwanzo beg lake limepotea
Kapigwa ndio anasema vp angeshinda angetuambia na hili,?
Kama Kawaida yetu watz kulalamika hata kwa vitu vya waz
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Sio kwenye mpira ni boxing mkuu ila km una moyo mdogo usijaribu, michezo hii ni hatari hata kwa afya za wale wanaoicheza usibahatishe ukipoteza itakucostAiseeee nitajaribu next time ila Sio kwenye mpira
Nikiweka laki mbili au tatu si naweza kuipata? Sijawahi kufanya betting aiseeeeSio kwenye mpira ni boxing mkuu ila km una moyo mdogo usijaribu, michezo hii ni hatari hata kwa afya za wale wanaoicheza usibahatishe ukipoteza itakucost
Mkuu unataka kusema lile pambano la Kwanza la nje la Mwakinyo alifoji ushindi wake?Tena ni heri amekutana na Liam Smith angekutana na Callum Smith angemmaliza kabisa,
Hatuendelei kimichezo kwasababu tunafake,
Ushindi wa kupendelea Nyumbani, Mapambano ya kununua,
Sasa hivi Mandonga ananunuliwa Mapambano ili aonekane ana rekodi nzuri watu waje wapige hela,
Ila akija kutoka nje ya nchi tutapata aibu na Mabondia wetu hawatasainiwa na kupata mapambano nje kwasababu tutaonekana hatuna viwango!
Chanzo kufoji matokeo kwa kisingizio cha kizalendo kumbe tunaua michezo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Km una moyo wa Njiwa usithubutuNikiweka laki mbili au tatu si naweza kuipata? Sijawahi kufanya betting aiseeee
Basi MpwaKm una moyo wa Njiwa usithubutu
Una uhakika mkuu?Mwakinyo alikuwa anamfua vizuri yule muingereza shida ni kukubali zile £56,OOO ili aonekane kashindwa. Ni utoto ambao hata Anthony Joshua anafanyaga.
Aiseeeeeeeeeeee wamuongeza dau hongo ndogo hiyo.Mwakinyo alikuwa anamfua vizuri yule muingereza shida ni kukubali zile £56,OOO ili aonekane kashindwa. Ni utoto ambao hata Anthony Joshua anafanyaga.
Nami, nimefurahi kushindwa kwake. Jamaa, alishawadharau mabondia woooote wa Tanzania. Hata wakishinda wenzie, alikuwa anadai walikuwa wanapigana na walevi!Maswali ni mengi yakujiuliza kutokana na maelezo aliyatoa.
Ila pambano ameshindwa kwakweli