Mwakinyo amshinda Mnamibia, Tony Rashid apoteza mkanda kwa Msauzi

si kweli mkuu naangalia hapa jamaa amepigwa pambano lililopita ndio ila na bondia anae rank 26, ila kabla ya hapo alishinda tena alimpiga mmarekani kwao. na kabla ya hapo amepigwa na wamarekani wawili ambao wote walikuwa nafasi ya pili walivyompiga.

hivyo Indongo amewpoteza na watu wanaorank 26, 24, 2 na 2. mabondia wanaorank 70, 50, na rank nyengine ndogo kawapiga wote.

cheki hapa
 
Mwakinyo halihitaji hilo pambano.
Twaha ndio muhitaji wa pambano, Mwakinyo hana atakachofaidika zaidi ya kufurahisha watu ila ki CV hawezi gain chochote.
Mwakinyo anaishi kama celebrity( ukitazama hata instagram yake utagundua), anajiona mbali sana.
 
Mpinzani mbovu mlevi bado refa kabeba jinga Mwakinyo. Yaani hamna kitu. Ashuke na Kiduku tukate ngebe sio atuletee wabeba matofali huko nje. Mnawaandalia tu cv. Hovyooo
 
Mpinzani mbovu mlevi bado refa kabeba jinga Mwakinyo. Yaani hamna kitu. Ashuke na Kiduku tukate ngebe sio atuletee wabeba matofali huko nje. Mnawaandalia tu cv. Hovyooo
Dunia ya leo inawezekana kupika data
Uwadanganye watu million 60?
Mwakinyo yupo vizuri.
 
Kivipi?
Nilkuwa. Naskia gloves kwenye malalamiko.. zina ishu gani?!
 
Dunia ya leo inawezekana kupika data
Uwadanganye watu million 60?
Mwakinyo yupo vizuri.
Milioni 60 labda wewe mwenyewe pambano lilikuwa bado refa kafanya mautupolo ambayo hata yule dada njau asingefanya kama azam inaonekana duniani ni aibu kwa nchi
 
Mwakinyo halihitaji hilo pambano.
Twaha ndio muhitaji wa pambano, Mwakinyo hana atakachofaidika zaidi ya kufurahisha watu ila ki CV hawezi gain chochote.
Mwakinyo anaishi kama celebrity( ukitazama hata instagram yake utagundua), anajiona mbali sana.
Yaani atoke mtu anawambia wapigane
Analiweka crown....
Mwakinyo professional analinda brand yake

Ova
 
Binafsi namkubali sana Mwakinyo ata maneno ambayo huwa anaongea na watu kusema ni dharau si kweli. Mwakinyo huwa anajaribu kuongea ukweli ila watu huchukulia kama dharau.

Ila kwa pambano la leo amebebwa kabisa
 
Kwahiyo ww kwa akili zako huyo kiduku anaingia kwa Mwakinyo
Mpinzani mbovu mlevi bado refa kabeba jinga Mwakinyo. Yaani hamna kitu. Ashuke na Kiduku tukate ngebe sio atuletee wabeba matofali huko nje. Mnawaandalia tu cv. Hovyooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…