Nadhan Alishachanganikiwa cku nyingi. Yani aliona wepesi kumfix Waziri mkuu bila kumsikiliza, Leo anaona ugumu kumfix mkuu wa mkoa kwa ushahid wa wazi KBS.Je yupo tayari kueleza yale aliyo acha ili serikali isianguke?
Mbona unatofautiana na Mwakyembe aliesema ufisadi ni kosa la jinai na siku yoyote anaweza kupandishwa mahakamani?Naamini unajua maana ya 'Natural Justice'. Kwamba mtu hapewi adhabu mbili kwa kosa hilohilo. Lowasa adhabu yake ya kukubali kujiuzuru ilimpa nafuu ya kutoendeleza mjadala bungeni, wakati huo na kuzua makibwa ambayo yangepelekea kufikishwa mahakamani, na leo mjadala ungekuwa haupo labda na upinzani wanatawala nchi hii.
Naamini umemsikia na kumwelewa Dr Mwakyembe alivyosema kuhusu hilo suala. Kwamba, wabunge wa upinzani wanalichokonoa suala lililokwisha fungwa lakiri.
kisu cha ngariba: kwa jina la ID yako umekuwa ukijadili au kuleta hoja za udaku mtupu. Nina uhakika hata maisha yako ni ya kingaribangariba (kukatakata tu, pasipo mpangilio).
Waziri wa habari Harrison Mwakyembe amewambia wabunge wa chadema kama wanataka ukweli wa ufisadi wa Richmond warudishe hoja hiyo bungeni.
Haya sasa karibuni kukanyagana maana hii hoja ni mwiba ambao watu wengine hawatakaki hata kuuona!
Mbona unatofautiana na Mwakyembe aliesema ufisadi ni kosa la jinai na siku yoyote anaweza kupandishwa mahakamani?
Haa! kumbe mnajua lakini bado mkaona angefaa kuwa RAIS kupitia CHADEMA?
Kama ni hivyo kilichokufanya uwadekie barabara Lowasa na Sumaye ni nini basi?
Ebu msikilize Mwakyembe vizuri. Tume yake ilikuwa ni kufanya uchunguzi na kuwasilisha bungeni kwa maamuzi. Ni wakati huo Lowasa alijiuzuru na suala likaishia hapo kabla ya kutolewa uamuzi. Lakini wabunge wa upunzani wanataka kulirejea (kwa nia ya kumsafisha).
Wafanye hivyo, lakini Mwakyembe ameonya kuwa kufanya hivyo ni kufukua makaburi na Lowasa atatiwa hatiani na CHADEMA, kama chama cha siasa, kitafedheheka.
Heri lawama kuliko fedheha.
Naona maandalizi ya kutaka kumsafisha mtu kupitia bunge tukufu yamepamba moto...Swali halijibiki Mkuu
Funika Kombe tu
Lakini kama Wapinzani si wairudishe hiyo Hoja tu Mjadala uanze upyaa..!!??Hapo rafiki kuna watu ndani ya CCM jawatapona.Jiulize ni kwanini hawampeleki Mahakamani??
Nyuma ya pazia la Richmond wako wengi mpaka akina JK,leo Mwakyembe anafungua mdomo sababu kikaangoni yupo JPM kwanini issue hai kuendelea??Kwanini alisema a naogopa kuiangusha serikali ya JK?
Au ndio maandalizi ya 2020....Naona maandalizi ya kutaka kumsafisha mtu kupitia bunge tukufu yamepamba moto...
ila sisi tuliwasikiliza wao waliombandika kwenye website yao na tukatekeleza...CCM ni wasikivu.
Mbunge wa chadema, atakaethubutu kuileta "Richmond", bungeni, ajue atafuata njia alopita Soffy Simba....Waziri wa habari Harrison Mwakyembe amewambia wabunge wa chadema kama wanataka ukweli wa ufisadi wa Richmond warudishe hoja hiyo bungeni.
Haya sasa karibuni kukanyagana maana hii hoja ni mwiba ambao watu wengine hawatakaki hata kuuona!