Mwakyembe awatega wabunge CHADEMA, awaambia wakitaka ukweli warudishe hoja ya Richmond Bungeni

Hivi hili lijitu lijinga lina mikakati gani kwenye wizara liliyopewa?
 
Hivi hili lijitu lijinga lina mikakati gani kwenye wizara liliyopewa?
Unaongelea nyusi zilizo nyonyoka baada ya kulishwa sumu na watu wa richmond?
Hivi hili lijitu lijinga lina mikakati gani kwenye wizara liliyopewa?
 
Hivi hili lijitu lijinga lina mikakati gani kwenye wizara liliyopewa?

Hivi hili lijitu lijinga lina mikakati gani kwenye wizara liliyopewa?
Pelekeni hoja ya richmond uone kama lijinga
 
kama ni kweli, basi kuna uwezekano Mwakyembe alitoa report ya uwongo na aliwadanganya watanzania. Kwanini aseme kma 'wanataka ukwei?' je hii haitafsiri ya kwamba huyu mh aliudanganya umma wa watanzania? achunguzwe upya kwanza
Umemsikiliza lakini hujamuelewa. Kazi ya Mwakyembe haikua kumpeleka Lowasa Mahakamani bali ilikua kuchunguza na Bunge kutoa maamuzi. Yeye alimaliza kazi yake suala la kumhoji Lowasa lilikua la Bunge lakini alisepa kwasababu alizozijua mwenyewe. Report haina uongo bali urafiki wa Kikwete na Lowasa wakati huo ulimsaidia huyo Rais wa watu wa mioyoni. Na kikwete alimuokoa Lowasa lakini hakutaka achukue nafasi yake maana CCM wangeisha mwaka 2015.
 
Na vipi kuhusu chama cha sepetunga

Hatutumii kawaulize wenye Chama Cha Masogange,ambao wamemwambia hata Masogange asirudi tena Mahakamani kwa sbabau siri zao zitawekwa juani.Nasubiria kama Polisi wataenda kumkamata nyumba ndogo ya Mheshimiwa wa Darisalama
 
Kumbe kweli hawakumpa nafasi ya kumsikiliza! Halafu Mwakiembe anataka ajivunie ni mtaalam wa sheria! Hapo kuna shida kidogo!
 
Mimi kama mwanachama wa Chadema chama cha wanyonge naomba tuirudisha suala la Richmond bungeni ili tumfunge mdomo Mwakyembe.Uwongo ukisemwa sana bila Kupingwa hugeuka na kuwa kweli nawaomba wabunge wetu machachali tuirudishe bila kuoga bungeni
 
Na anaetakiwa kuwa kinara wa kurudisha hoja ya richmond bungeni ni Kubenea maana yeye na gazeti lake wana ushahidi wote
 
This guy is a lair! Anaomba kesi ya Richmond kwa sababu anataka kufanya siasa. Ni chama chake mwenyewe ndicho kilichoiua hoja hiyo Bungeni wakati ule, and he should be ashamed of what he is saying. Kwa nini asililie kesi ya ESCROW ambayo ni ya juzi tu, akarudishwa Bungeni ili aonyeshe ushujaa wake??? we say it everyday... ukiwa kwenye hiki chama unakumbwa na tatizo la IQ yako kushuka kila siku....
 
Mimi naona tufike mahali tuone ya kuwa tunachezewa akili pote pote, si CCM si upinzani
 
Acheni kuwahangaisha CHADEMA bure. Wakati ule suala la Richmond limeletwa Bungeni Wabunge wa chama chenu ambao ndio walikuwa wengi Bungeni, walisimama upande gani?? You should be ashamed of yourself. Likirudishwa Bungeni kisha utolewe ushahidi kwamba "Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri" wa wakati huo ndiye aliyetoa baraka kwa Mkataba wa Richmond, na Mwenyekiti huyo hakuwa Lowassa, mtasemaje?? Nyie watu, Mungu anawaona lakini.. acheni hayo mambo yenu ya unafiki mtaendelea kulaaniwa.
 
Acheni uongo. Katika nchi zenye mfumo kama wa kwetu, haijawahi kutokea Waziri Mkuu akawa na Mamlaka makubwa ya kuingia mikataba mikubwa kama wa Richmond. I repeat, acheni uongo wa kitoto! Mbona kila siku tunasema Rais katika nchi yetu ana madaraka makubwa kama Mungu? Yaani ilikuwaje wakati huo Mh. Lowassa akawa na Madaraka Makubwa kuliko Rais?? Wadanganyeni wajinga wajinga.... welevu tulishang'amua siku nyingi.
 
Mwakyembe kalishwa Sumu! By Marehemu Samuel Sitta! R.I.P
Sitta, R.I.P, Mwakyembe, Bashite aka Konda,aliyekatika mkia Mpendazoe et al (na wengine) walitaka kuanzisha chama gani?_CCK?
Kwa kuwa ripoti ya Mwakyembe ilificha vitu fulani isije ikaleta mtikisiko(according to him) the absence of the late Sitta makes the whole issue at the moment...... malizia

Hivi kuna kitu kinaitwa 'nusu ukweli?'

Makaburi yachimbuliwe? Yapo mengi!!
 

..hoja yangu ni kwanini Mwakyembe anashindwa kumshitaki Lowassa?

..hayo ya Bashite acha aendelee kukaa naye maana anazidi kumchafua.
 
Chadema wana ushahidi wa ufisadi wa Lowassa
 
Naona Mwakyembe anataka kusafuria nyota ya Lowassa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…