Mwakyembe awatega wabunge CHADEMA, awaambia wakitaka ukweli warudishe hoja ya Richmond Bungeni

Mwakyembe awatega wabunge CHADEMA, awaambia wakitaka ukweli warudishe hoja ya Richmond Bungeni

Sasa uchadema hapo unakujaje. Swala la uhakiki vyeti lilivyoathiri watu wengi wewe huoni?
Je huoni kuwa ni fedheha kwa mkuu wa mkoa kutumia majeshi kufanya uvamizi kwenye kituo cha habari?

Hili swala la Bashite sio ishu ya kisiasa!

Mpaka sasa hakuna mpiga kelele aliyewhi kuthibitisha makonda kutokuwa na elimu stahiki,bali kelele tuuu kama mizuka ya gwajima imewashika woote.

Ndio maana nimeuliza Boniphace alienda mahakamani ili shera ifuate mkondo kuhusiana na hili lakini baadae hatusikii tena mrejesho,zaidi ya hizi propaganda za kinafiki humu kila uchao kama vile hakuna mambo mazuri mengine yanayofanyika.

Mnatulazimishawoote tumtumikie Lowassa na genge lake?

Hapana wwngine tunajitambua bwana nyinyi andeleeni kutumika na zidumu fikra za mwenyekiti mbowe.wengine tunafunga safari ya dodoma na Nyinyi endeleeni kushikwa tu
e86dc7d8c834a44e097978368b0d8c87.jpg
 
Hivi nyie chadema mnaolilia bungeni kuwa kamati ya Richmond haikumpa fursa ya kusikilizwa nawauliza kwamba ilikuwaje mkamuweka kwenye "LIST OF SHAME" bila kumpa wasaa wa yeye kujielezea??
Kwa hiyo CHADEMA ambao walikuwa hawana fursa ya kumuhoji Lowassa wakifanya ujinga wa kumuweka Lowassa kwenye list of shame bila kumpa wasaa wa kujieleza na ninyi CCM ambao mulikuwa na fursa ya kumpa wasaa wa kujieleza mnaiga ujinga wa CHADEMA?.
 
Hii serikali ijiuzulu tu.

Yaani wao ndio wameshika dola na wao ndio waliofunga huo mjadala Bungeni alafu leo ndio wanaowataka wapinzani waibue swala hilo badala ya kutekeleza maazimio ya Bunge au kufungua kesi Mahakamani.

Pathetic!
Wacheni Unafiki
Rudisheni hoja hiyo
muone
 
Namshangaa sana Waziri Mwakyembe eti hakumhoji Mh.Lowassa Kwa kuwa ushahidi dhidi yake ulikamilika.Kama ndio hivyo mbina Ushahidi dhidi ya Paulo Makonda nao ulikamilika? Bw.Mwakyembe wewe ni mwana Sheria kumhoji mtuhumiwa ni haki kisheria kutomhoji Mh.Lowassa ulikosea huo ndio ukweli je kwanini suala la Makonda unataka ahojiwe? Mbona nao ulikamilika? Kumbuka watanzania hatudanganyiki tumesoma kama we we Sheria tunaijua mkuu

Kwa hiyo unaweza ukamhukumu mtu bila kumpa haki ya kusikilizwa...
 
Du unahoja nyepesei kwenye mambo zamazito,inaonesh uliandika huku unanjaaa
 
yaani rais magufuli tuondolee huu uchafu ....huyu mnyakyusa ni mgonjwa......hai hata kuwa mjumbe wa mtaa
malumbano ya kipumbavu na kijinga anayoyaanza mwakyembe ni kupoteza muda wa watanzania bure
arudishwe india akacheck afya ama ni utahira?watanzania tunataka "maendeleo"huu ujinga ndio uliotufikisha hapa!
hawa ndio nape aliwaita "OIL CHAFU"Mh. rais tuondolee
 
Hawa wapangaji wa UFIPA naona bado wako busy,ngoja waje..!!
 
Hivi nyie chadema mnaolilia bungeni kuwa kamati ya Richmond haikumpa fursa ya kusikilizwa nawauliza kwamba ilikuwaje mkamuweka kwenye "LIST OF SHAME" bila kumpa wasaa wa yeye kujielezea??

maswali haya wanaojaribu kujibu ni wasio na aibu tu

mostly wavuta bangi, wanaojiuza barabarani
 
yaani rais magufuli tuondolee huu uchafu ....huyu mnyakyusa ni mgonjwa......hai hata kuwa mjumbe wa mtaa
malumbano ya kipumbavu na kijinga anayoyaanza mwakyembe ni kupoteza muda wa watanzania bure
arudishwe india akacheck afya ama ni utahira?watanzania tunataka "maendeleo"huu ujinga ndio uliotufikisha hapa!
hawa ndio nape aliwaita "OIL CHAFU"Mh. rais tuondolee

Kila anayewashika pabaya chagadema basi huyo ni mbaya kwenu woote.
Sasa lowasa ameaajiri chagadema kumsafisha,wajanja wameliona hilo na mwakyembe kawawahi sasa tukisema mmeshikwa pabaya mnatukana weeeee!

Shame on you
8877d5556c3282f42b84fa3e43eb126e.jpg
 
Kama kuna siku mwakyembe kaongea pumba basi ni leo

Yani pumba first grade, yeye alisema report ya Nape haijakamilika kisa bashite hajaojiwa yet walifanya jitihada zote za kumtafuta ila aliwakimbia

Leo anasema report yake ya richmond ambayo alifunga safari hadi nje kwenda kutafuta ushahidi lakini alishindwa kumuhoji Lowassa aliyekuwa hapa ni kamili,na hakuona haja ya kumuhoji Lowassa

Seriously halmashauri ya kichwa chake sijui kama ipo sawa
Mkuu katika siasa hakuna pumbu,kuna vitu vinaitwa "destructions". Prof. Mwakyembe amejibu kwa mantinki kwamba ikiwa kesi ya RICHMOND kulikua na "injustice" ya kutokuhoji upande mmoja na maamuzi bado yakatolewa. Hivyo hilo sakata lifufuliwe tena upande wa pili(EL) uhojiwe "which this is inevitable",halafu muda huo awe ameshaachia uwaziri katika harakati. Mwishowe nani wa kudhani suala la mkuu wa mkoa mtalikumbuka ikiwa mnarumbana kuhusu mapapa?

Wana sheria wamemwelewa kwa jinsi yao. "Two wrongs never makes a right", mapungufu ya "RICHMOND" hayamaanishi "negligence" sakata la Bashite. Simtetei Mwakyembe ila kuna jinsi "his logical reasoning" akili za mtanzania wa wastani hawezi kuzielewa.
 
Kauli za mwakembe ni kama bando la siku.Siku ikiisha na kauli zake zinaishia kesho anakuja na lingine.Ni Mwakembe huyuhuyu alietuambia kuwa mahakama ya mafisadi imekosa washtakiwa na hivyo haina kesi ya kusikiliza.Leo anasema tena Lowassa hatoki,kwa nn asipelekwe mahakamani kuliko kupiga porojo bungeni?binafsi nilishaacha kuamini kauli za huyu mtu maana alichosema leo kesho anasema lingine.Muhimu ni kuwa tunataka Lowassa ashtakiwe mahakamani kama huo ushahidi upo,kwan yeye ni nani?kama hawezi kumshtaki mahakamani akae kimya maana kauli zake ni kama comedy za akina mau.
 
Chadema ina ushahidi wa ufisadi wa Lowassa
Mkuu hata kagame alituaminisha watu kuwa watutsi million 1 waliuawa 1994 yaani mauaji ya kimbari yalikuwa ni mauji dhidi ya watutsi kwa miaka 20 katuaminisha hivyo ila recently mambo yamekuwa wazi kuwa rwanda haikuwa na watutsi zaidi ya 200,000 ssa inakuwaje waseme walikufa watutsi million 1??? The whole world now knows the truth

Kwahyo hta ccm ilituaminisha watanzania wote kupitia ripoti ya mwakyembe kuwa yye ndo fisadi wa richmond ila with tym ukweli umejulikana ssa lowasa kasema yye hakuna alilofanya kikwete hakujua so whatever ushahidi chadema waliokuwa nao yeye simply "ALITUMIWA" ssa ndio unataka tuendelee kushkilia msimamo huo huo wa kuwa lowassa ni fisadi?? While the chain of command was clarified???
 
Kwa hiyo CHADEMA ambao walikuwa hawana fursa ya kumuhoji Lowassa wakifanya ujinga wa kumuweka Lowassa kwenye list of shame bila kumpa wasaa wa kujieleza na ninyi CCM ambao mulikuwa na fursa ya kumpa wasaa wa kujieleza mnaiga ujinga wa CHADEMA?.
Angalau Umejitahidi kusaidia kujibu Mkuu. Wenzio wanachungulia swali lipo juu ya uwezo wa VYETI vyao.
Lakini nafasi ya kumhoji bado ipo. Akina TL watumie kanuni kurejesha hiyo hoja ili tuyamalize once and for all. Maana wengine tangu tuaminishwe na CHADEMA kuwa EL ndo FISADI number moja Tanzania bado tunaamini hivyo hadi leo.
 
mwakyembe huyu yuko serikalini kwa nini yeye asirudishe huo mjadala? huyu dr mwakyembe haeleweki anasimamia nn
 
Wabunge wa chadema ni kama wamepigwa gandi kwenye hili
 
Hivi nyie chadema mnaolilia bungeni kuwa kamati ya Richmond haikumpa fursa ya kusikilizwa nawauliza kwamba ilikuwaje mkamuweka kwenye "LIST OF SHAME" bila kumpa wasaa wa yeye kujielezea??
Hao mbege zilishawaharibu akili wewe tarajia matusi tu hapa
 
Back
Top Bottom