commonmwananchi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 3,377
- 1,956
Sasa uchadema hapo unakujaje. Swala la uhakiki vyeti lilivyoathiri watu wengi wewe huoni?
Je huoni kuwa ni fedheha kwa mkuu wa mkoa kutumia majeshi kufanya uvamizi kwenye kituo cha habari?
Hili swala la Bashite sio ishu ya kisiasa!
Mpaka sasa hakuna mpiga kelele aliyewhi kuthibitisha makonda kutokuwa na elimu stahiki,bali kelele tuuu kama mizuka ya gwajima imewashika woote.
Ndio maana nimeuliza Boniphace alienda mahakamani ili shera ifuate mkondo kuhusiana na hili lakini baadae hatusikii tena mrejesho,zaidi ya hizi propaganda za kinafiki humu kila uchao kama vile hakuna mambo mazuri mengine yanayofanyika.
Mnatulazimishawoote tumtumikie Lowassa na genge lake?
Hapana wwngine tunajitambua bwana nyinyi andeleeni kutumika na zidumu fikra za mwenyekiti mbowe.wengine tunafunga safari ya dodoma na Nyinyi endeleeni kushikwa tu