Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo CHADEMA ambao walikuwa hawana fursa ya kumuhoji Lowassa wakifanya ujinga wa kumuweka Lowassa kwenye list of shame bila kumpa wasaa wa kujieleza na ninyi CCM ambao mulikuwa na fursa ya kumpa wasaa wa kujieleza mnaiga ujinga wa CHADEMA?.
Waziri wa habari Harrison Mwakyembe amewambia wabunge wa chadema kama wanataka ukweli wa ufisadi wa Richmond warudishe hoja hiyo bungeni.
Haya sasa karibuni kukanyagana maana hii hoja ni mwiba ambao watu wengine hawatakaki hata kuuona!
Waziri wa habari Harrison Mwakyembe amewambia wabunge wa chadema kama wanataka ukweli wa ufisadi wa Richmond warudishe hoja hiyo bungeni.
Haya sasa karibuni kukanyagana maana hii hoja ni mwiba ambao watu wengine hawatakaki hata kuuona!
HahahaAngalau Umejitahidi kusaidia kujibu Mkuu. Wenzio wanachungulia swali lipo juu ya uwezo wa VYETI vyao.
Lakini nafasi ya kumhoji bado ipo. Akina TL watumie kanuni kurejesha hiyo hoja ili tuyamalize once and for all. Maana wengine tangu tuaminishwe na CHADEMA kuwa EL ndo FISADI number moja Tanzania bado tunaamini hivyo hadi leo.
Wewe kweli hi JINGA LAO hata ulichokiandika hakisomekiHivi nyie chadema mnaolilia bungeni kuwa kamati ya Richmond haikumpa fursa ya kusikilizwa nawauliza kwamba ilikuwaje mkamuweka kwenye "LIST OF SHAME" bila kumpa wasaa wa yeye kujielezea??
Hata mimi zamani kabla CHADEMA haijauzwa kwa hilo FISADI nilikuwa nafikiria hivo. Ila kwa kuwa niliaminishwa na CHADEMA kuwa EL ndo FISADI number moja, halafu ajabu ndo likabebwa nao na kupewa nafasi ya kugombea urais, nikaona ni Heri JPM maana yeye hata kwenye ile list hakuwemo. Nikampigia kura the less evil.Usipende kuweka mawazo yako kwenye mawazo ya wengine.
Ukiniuliza kuhusu Urais nitakujibu hivi,Siyo JPM wala Lowassa wenye uwezo wa kutuongoza.Kama kukosa CDM pamoja na CCM mliingia mkenge.Ni bora CCM wangemweka Chikawe au Judge Ramadhani lakini kwa JPM hamna kitu kuanzia Uongozi mpaka kicwani kwani anafikiria kwa Chuki,visasi na ubaguzi. Hope umenielewa.
Kama ufisadi Lowassa na JPM wote ni mafisadi wametajirika kutumia madeal na wizi wa pesa za Serikali hakuna msafi hapo.
Kwahiyo wale watanzania wooote qliokuwa naahaba nae hadi wakati wa kampeni wengine wakawa wanazimia kwa kukosa hewa kwa sababu tu ya kumuna na kumsikiliza Lowasa hawana akili? Na kama hakuna mtanzania mwenye akili anayemuunga mkono Lowasa mbona aliwasumbua sana mwaka 2005? Hizo asilimia 56 za kura alizopata ilikuwa ni miti iliyomuunga mkono na sio watu? Na pia kama nyinyi mnajiamini kuwa hakuna mtu mwenye akili anayemuunga mkono Lowasa, mwambie mkuu aruhusu mikutano ya vyama vya siasa just for one week then uone kati yako na watanzania wengi ni nani hana akili!!!Hakuna mtu yeyote mwenye akili nzuri ambaye anamuunga mkono Lowassa ambaye anaweza kuthubutu hata ndotoni kuleta tena hoja ya Richmond; hii changamoto imetolewa mara nyingi na hakuna aliyethubutu kuichukua. Lowassa alipewa nafasi ya kujitetea mbele ya wabunge wote na mbele ya taifa lote lakini kwa hasira aliamua kuzira uwaziri mkuu kupitia ile hotuba yake maarufu ya "nimedhalilishwa sana".
Hata mimi zamani kabla CHADEMA haijauzwa kwa hilo FISADI nilikuwa nafikiria hivo. Ila kwa kuwa niliaminishwa na CHADEMA kuwa EL ndo FISADI number moja, halafu ajabu ndo likabebwa nao na kupewa nafasi ya kugombea urais, nikaona ni Heri JPM maana yeye hata kwenye ile list hakuwemo. Nikampigia kura the less evil.
Waziri wa habari Harrison Mwakyembe amewambia wabunge wa chadema kama wanataka ukweli wa ufisadi wa Richmond warudishe hoja hiyo bungeni.
Haya sasa karibuni kukanyagana maana hii hoja ni mwiba ambao watu wengine hawatakaki hata kuuona!
Tumia akili mangi, mbege imekuharibu - Mamvi ni jizi bobeziChadema iliuzwa ulikuwa shahidi number ngapi??Ongea hoja na si viroja.
Tumia akili mangi, mbege imekuharibu - Mamvi ni jizi bobezi
Huwa anatumia hisia zaidi kuliko akili ndio maana hu panic vibayaMkuu katika siasa hakuna pumbu,kuna vitu vinaitwa "destructions". Prof. Mwakyembe amejibu kwa mantinki kwamba ikiwa kesi ya RICHMOND kulikua na "injustice" ya kutokuhoji upande mmoja na maamuzi bado yakatolewa. Hivyo hilo sakata lifufuliwe tena upande wa pili(EL) uhojiwe "which this is inevitable",halafu muda huo awe ameshaachia uwaziri katika harakati. Mwishowe nani wa kudhani suala la mkuu wa mkoa mtalikumbuka ikiwa mnarumbana kuhusu mapapa?
Wana sheria wamemwelewa kwa jinsi yao. "Two wrongs never makes a right", mapungufu ya "RICHMOND" hayamaanishi "negligence" sakata la Bashite. Simtetei Mwakyembe ila kuna jinsi "his logical reasoning" akili za mtanzania wa wastani hawezi kuzielewa.
Uko sawa bwashee mangi, hudumia wateja kwanza hapo dukani - matusi ya mitandaoni hayasaidiiWewe umeharibiwa na nini?Viroba au MAsogange??Hivi kuna FISADI zaidi ya Paul Makonda?Aliyekwapua Bilion nane za kivuko kibovu ni Lowassa au ni JPM??
Wa barabara mbovu je?Aliyejengewa hotel maneo fulani kama asante toka kwa mkandarasi ni Lowassa??
Kama umelewa Masogange ni juu yako
Kufufuliwa kwa RICHMOND kwake ni ahueni, atakimbia majanga mawili kwa mpigo. Mzigo wa ofisi ya uwaziri pili kufanya kazi na Mkuu. Kuna malalamiko mengi kuhusu mahusiano kazini kutoka kwa Mkuu, pia itakua nafasi kwake kutotoa dukuduku alilonalo moyoni kuhusu EL.Huwa anatumia hisia zaidi kuliko akili ndio maana hu panic vibaya
He can only fool wachache sana, sakata la Richmond atake asitake alichemka, hayo maneno ya kusema yafufuliwe ya nyuma there is no need of that
Kutamka kwake kuwa awekwe pembeni kwenye uwaziri ni dhahiri kabisa kakubali uozo wake Wa nyuma
Uko sawa bwashee mangi, hudumia wateja kwanza hapo dukani - matusi ya mitandaoni hayasaidii