Mwaliko wa Harry kwenda kwa familia ya William wapotezewa

Harry haipi shida familia ya kifalme na umuhimu wake tusiukuze kupitiliza. Baba mkubwa wake Elizabeth II, Edward VIII alipopata ufalme akataka kuoa mke aliyeachwa mara mbili Mmarekani, kanisa la Anglican la Uingereza na bunge wakamkatalia na kumshauri kama anataka hivyo ajiuzuru na akaachia kiti na alifanya ziara mara kwa mara Paris. Baba yake Elizabeth II ndio akatawazwa kuwa mfalme. Sasa huyu Harry atatisha nini.

Edward VIII alifurahia maisha yake ya nje ya familia ila sina imani kama Harry ataendelea kufurahia. Ukoo wa kifalme uko strict ndio maana unaendelea kuwepo, bila hivyo wangekwishapotea siku nyingi na ufalme ungekuwa bloodline nyingine. Hata Japan wana ukoo wa Emperor una miaka mingi sana nao wana sheria kali zaidi. Sisi wamatumbi ndio tunajikuta tunajiendea kiholela ndio maana bilionea anakufa leo baada ya miaka miwili mali zote zinauzwa watoto wanakuwa maskini
 
Ukimwangalia vizuri Harry utagundua kwamba kuna uwezekano mkubwa ni mtoto wa nje
 
Unaijua vizuri royal family wewe[emoji23][emoji23][emoji23] wamtafute kuwa wana shida na pesa au[emoji23][emoji23]
 
Hana tofauti na vibibi vya Kibongo.
 
Ongezea nyama mkuu...kivip yaan
 
Alitaka kuitangazia nini dunia Diana?
 
Alitaka kuitangazia nini dunia Diana?

Imasemekana alikuwa na mimba ya Dodi Ndio maana wakamuuwa
Alikuwa tayari kuiambia dunia kwa hasira
Waandishi walipowashutumu sana kwa mauwaji
Queen alitoka hadharani na kutoa karipia kubwa mpaka tukashangaa
 
Karibu Dear...
Unakumbuka ile 2018 Harusi ya Harry? Wewe na Humble African kwenye ule uzi sijui hata uko wapi jamani...

Mkatufanya tujikute Buckigham bila kufika[emoji2]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji16] siku zinakimbia jamani juzi tu hapa[emoji848]

Mara paap mkahamia Sandringham [emoji1732][emoji1732][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…