Pua ya zege
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 1,941
- 2,081
Shida isikie kwa mwenzioKwani kabla hajakopa huo mkopo hakusoma masharti na riba za huo mkopo kwanza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida isikie kwa mwenzioKwani kabla hajakopa huo mkopo hakusoma masharti na riba za huo mkopo kwanza?
Nimeongea nimechokaWalimu wa nchi hii wanateseka sana!
Mpwayungu Village hebu sema neno moja, huu uzi hauwezi kueleweka bila neno lako kaka
You are really dumb and country pumpkin.Wewe mwenye elimu isiyo ya kubabaisha kitu gani kipya ulichoongea hapa zaidi ya blah blah za hapa na pale....mtu unayejitambua huwezi kujidhurumu uhai kwa sababu nyepesi ya madeni......nimekuuliza swali jepesi wakati anakopa hakuona kama riba ni kubwa???alilazimishwa kwa kushikiwa bastola???ulitaka aachiwe asilipe pesa za watu alizokopa ili asijiue????
Naamini hilo deni hata M15 halifiki....
Haya maisha sio kama unavyoyafikiria. Kama wafanyabiashara wakubwa wenye mbinu zote safi na chafu kuna muda unafika wanafilisiwa na mabenki vipi kuhusu mwalimu? Sio rahisi hivyo. Siku nyingine fikiri kabla ya ku-commentMwalimu mjinga na amejaa tamaa alivyochukua mkopo hakuona kama riba ni kubwa??je alilazimishwa? Mwalimu anapigwa maisha anakimbilia kujiua napata mashaka na quality ya alichokuwa anafudisha watoto wetu.
[emoji3][emoji3]Oyaa tuko msibani
Ipo siku utashindwa kupiga miti mkeo na kuilaumu CCMWaalimu wakiambiwa waikatae CCM kwani inahusika na madhila yote wanayopitia kikokotoo, mshashara duni, inapelekea kujiingiza ktk mikopo ya riba kubwa lakini hawa waalimu wanakataa siyo CCM inayosababisha haya yote kwa uchache hapo juu.
Umeongea point sana. Huwa wanaambiwa riba ni 4% tu kwa mwezi. Kumbe ni 4% ya deni zima. Makato yakianza ni kilio.Kama ulisoma form four na hukuelewa Hesabu za Compound Interest basi kwenye mikopo watakupiga sana.
Kile kilichoandikwa kama Interest % sicho wanachokata.
Ndio hapo Mteja anaanza kulalamika kuwa alidanganywa
Na alijaa hasasir ticha aliingia kwenye mfumo.
Kama mwanzo 4% ni 12000 basi mwezi unaofuata ni 15000 na mwezi wa nne na wa sita 4% sio 12000 bali ni 20000 na kila siku zikiendele 4% ni ileile lakini Amount tofauti.Umeongea point sana. Huwa wanaambiwa riba ni 4% tu kwa mwezi. Kumbe ni 4% ya deni zima. Makato yakianza ni kilio.
Mkuu wenye access ya mitandao labda walimu wa kiume ila wakike ni zero.Uwezekano wa kuungana wote kwa pamoja upo, elimu wanayo, access ya mitandao wanayo tena kubwa mno.
Acha tuUchumi wa mabank haya ya riba ni kuongeza umaskini , ukiwa mpenda shortcut utajuta.