Papaa Mobimba
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 882
- 3,337
Mkuu Asante na wewe piaR.i.P
Halafu sasa na vile bilionea alivyomtimua Hajj Manara, ndiyo ^car-bee-siiiiirrrrr!!!^Na world cup ndiyo mwakani hakika pengo litaonekana
Corona ipo sana dunia yote hasa hivi ”virusi Delta ” vinasambaa kwa kasi na vinaua kweli kweli.kama ni uviko19 wadau wa soka, mashabiki lazima tushtuke
Huyu ni mtu pekee aliyenifanya niangalie mpira kwenye TV wakati huo huo nisikilize TBCTanzia: Mchambuzi nguli wa soka Tanzania, Mwalimu Alex Kashasha amefariki dunia leo Agosti 19, 2021 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Kairuki mkoani Dar es Salaam.