Mwalimu aliyekuwa anaishi ofisini apata makazi

Sasa kama wanalipwa mshahara vizuri mbona wanalala madasani [emoji23][emoji23][emoji23]
Mshahara haupo kwa ajili ya kumtajirisha mtu ukiona mtumishi wa umma ametajirika ujue huyo ni mwizi . Kama uliingia kwenye utumishi ili utajirike umekosea njia na utajichukia mpaka unastaafu
 
Tunanunua magoli ya Yanga kwanza
 
Wacheza mpira wamepelekwa na ndege ya Taifa.

Mwalimu baskeli ni usafiri wa kifahari maana wengi hawana hata baskeli kwa kuwa kwa kipato chao hawamudu.
Hhhahaha wanakunya vichakaniy
 
Mshahara haupo kwa ajili ya kumtajirisha mtu ukiona mtumishi wa umma ametajirika ujue huyo ni mwizi . Kama uliingia kwenye utumishi ili utajirike umekosea njia na utajichukia mpaka unastaafu
Sasa mbona Nikisema walimu ni masikini unakataa
 
Mkuu nimeambiwa jina lako lipo kwenye mkeka wa ajira za afya na elimu,utapangiwa Nangurukuru Primary School
Hhhahaha siwez kuwa kwenye ajira za mafungu mm, nimefika level ya kukataa kuajiriwa hata iwe ni pesa kiasi gn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…