Mwalimu aliyekuwa anaishi ofisini apata makazi

Mwalimu aliyekuwa anaishi ofisini apata makazi

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,540
Reaction score
30,875
Tukisema hii kada inadharaulika mnanijia juu, yani mpaka wananchi wameamua kujichanga kumjengea banda la kulala

UALIMU ni kada ya ajabu haijawahi kutokea. Hapa bongo mimi naapa bora niwe nadeki vyoo vya wafungwa na kusafisha ndoo za uharo kuliko kuwa kwenye hii kada loooh
Screenshot_20230605-181231_1.jpg
 
Unazingua ww vp kibarua anayelipwa elf 3 Kwa mhindi yeye ana maisha Bora kuliko mwalimu?
Ualimu n mzuri ila ukijiongeza kupiga side hustles nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Angetutajia kwanza madaraja ya mishahara ya watumishi wote wa halmashauri ili tujue hao walimu wananyanyaswa na kudharauriwa kivipi?
Cc tunajua ndo mana tunamshangaa tu
Kijana anatakiwa atofautishe kati ya marupurupu na wizi toka kwa kada nyingine
 
Sasa kama wanalipwa mshahara vizuri mbona wanalala madasani [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom