Mwalimu aliyeshtakiwa kwa kumbaka Mwanafunzi ahukumiwa miaka 30 jela. Mwanafunzi afukuzwa shule

Mwalimu aliyeshtakiwa kwa kumbaka Mwanafunzi ahukumiwa miaka 30 jela. Mwanafunzi afukuzwa shule

Hii sheria atakaepata tabu zaidi ni mtoto.Naona wangefanya hivi huko gerezani wangeruhusu baba azalishe halafu % fulani ipelekwe kwa ajili ya kumtunza mtoto.

Mama pia apewe adhabu.
watetezi wa haki za wanawake mbona mko kimya hapa, simamieni na hili sasa..

Mama kafukuzwa shule, Baba wa mtoto jela 30yrs.
Mtoto akizaliwa baba yake yuko jela na mama yake kafukuzwa shule, what a future for this innocent kid..
 
Ukipita stend jioni unakutana na mtoto wa kike amejichubua...amenyoa sijui kiduku..kisket kifupii na kapaka wanja...Bora sikuwa mwalimu..ningefukuza shule aisee!sijui watoto wahivyo wanatokea familia yenye baba na mama kweli?
jana usiku nilikuwa kwenye ka mgahawa fulani nakula, huo mgahawa unamilikiwa na mama mmoja wa makamo na wahudumu ni yeye mwenyewe na mabinti zake,yakatokea malumbano ambayo yalinishangaza kati ya mama na binti wa miaka 16-21 hivi
BINTI:anapokea simu alafu ansema “hallow kwahiyo umeamua kuniumiza moyo wangu...
MAMA;wewe nishakukataza hizo habari za kuongea na mabwana zako...
BINTI; we nae niache au unamtaka ? ...
Mama akajichekesha kwa aibu
 
Hizi sio adhahu bali kukomoana.
Huyo mwanafunzi utakuta Malaya wa siku nyingi, halafu unafungwa miaka 30.

Nilidhani adhabu ni fundisho ili usirudie kosa?! Sasa miaka 30 ni adhabu au kukomoana tu?!

38 +30 = duh, ujinga huu ubadilishwe.

Hivi vitoto darasa la 7 vina vi boyfriend, sasa kinachofanya na hao maboyfriend na alichofanya mwalimu kunatofauti gani?!
Hivi vifungu vya adhabu viangaliwe tena.
 
Mwalimu alijaribu Kufanya biashara ya kuuza kofia ya polisi!! Haya Sasa apambane na hasara.
 
Ukipita stend jioni unakutana na mtoto wa kike amejichubua...amenyoa sijui kiduku..kisket kifupii na kapaka wanja...Bora sikuwa mwalimu..ningefukuza shule aisee!sijui watoto wahivyo wanatokea familia yenye baba na mama kweli?
Mkuu. Hii adhabu ya kumfunga mtu anayetembea na mwanafunzi, mtu mzima miaka 30 ni ujinga uliopitiliza. Hata kama tunataka kuwalinda wanafunzi siyo kwa adhabu ya kishetani namna hiyo. Adhabu ilitakiwa kuwa mwalimu kufukuzwa kazi na kuzuiwa kufanya tena kazi ya ualimu. Lakini miaka thelathini kwa kutembea na mwanafunzi mtu mzima tena ameliyekubali kwa hiyari yake?
 
jana usiku nilikuwa kwenye ka mgahawa fulani nakula, huo mgahawa unamilikiwa na mama mmoja wa makamo na wahudumu ni yeye mwenyewe na mabinti zake,yakatokea malumbano ambayo yalinishangaza kati ya mama na binti wa miaka 16-21 hivi
BINTI:anapokea simu alafu ansema “hallow kwahiyo umeamua kuniumiza moyo wangu...
MAMA;wewe nishakukataza hizo habari za kuongea na mabwana zako...
BINTI; we nae niache au unamtaka ? ...
Mama akajichekesha kwa aibu

Uwiiii😭😭😭! Uwiiii😭😭😭! Jamani malezi gani hayo?? Mie nimekutanaga na mazangu twice harusi za ndugu zetu ...Basi harusi ya kwanza ilikua Kigoma...nikajiachia...wine kwasana...then tukaarange tukitoka harusini walau twende kwenye bangs...mbona mama alinifata? Aliniambia ukipata matatizo huku unadhan nitaelewekaje kwa mkwe😀😀! Akasema Rudi nyumbani..utajirusha ukirudi kwako sio huku😀😀!nikatii kimtindo
Hii ya pili ilikua dar. .muda wote alikua ananikata jicho..anajiuliza huyu furaha yake mbona Kama umezidi😆😆maana kila mziki nimooo...akaona hapana .akanifata nikae kwa meza yake ajue nakunywa Nini😆😆! ..nadhan ni malezi na kutosikiliza wazazi
 
Mkuu. Hii adhabu ya kumfunga mtu anayetembea na mwanafunzi, mtu mzima miaka 30 ni ujinga uliopitiliza. Hata kama tunataka kuwalinda wanafunzi siyo kwa adhabu ya kishetani namna hiyo. Adhabu ilitakiwa kuwa mwalimu kufukuzwa kazi na kuzuiwa kufanya tena kazi ya ualimu. Lakini miaka thelathini kwa kutembea na mwanafunzi mtu mzima tena ameliyekubali kwa hiyari yake?
Alafu ukute mwanafunzi ndo anamtega mwalimu..inauma kwakweli..Ila na walimu waache huu ujinga kujipotezea vision bure
 
Hata hivyo Mwanafunzi naye alifukuzwa Shule na Bodi ya Shule na hata alipokata rufaa, bado Bodi ya rufaa ya Mkoa iliona bodi ya Shule ilikuwa sahihi na adhabu ya kufukuzwa Shule iliendelea.
Aende mahakamani... huko atashinda tu!
 
Hivi Mwanafunzi wa Kidato cha Tano au cha Sita ni Mtoto mdogo kweli? Yaani mmeshindwa tu kujua kuwa hapa palikuwa na Maridhiano mema tu?
 
watetezi wa haki za wanawake mbona mko kimya hapa, simamieni na hili sasa..

Mama kafukuzwa shule, Baba wa mtoto jela 30yrs.
Mtoto akizaliwa baba yake yuko jela na mama yake kafukuzwa shule, what a future for this innocent kid..
Kwani wapi pameandikwa mwanafunzi ni mjamzito?
 
Habari wanaJamiiForums,

Mwalimu George Ngallu wa Mahiwa Sekondari aliyekuwa na kesi mahakamani ya kufanya ngono na mwanafunzi wake wa kidato cha tano 2019/20 katika mchepuo wa History, Geography na Kiswahili (HGK) amakutwa na hatia na amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kuanzia tarehe 14/08/2020.

Hata hivyo Mwanafunzi naye alifukuzwa Shule na Bodi ya Shule na hata alipokata rufaa, bado Bodi ya rufaa ya Mkoa iliona bodi ya Shule ilikuwa sahihi na adhabu ya kufukuzwa Shule iliendelea.

=======

Taarifa husika iliripotiwa kama ifuatavyo;

Mwalimu kizimbani kwa tuhuma ya kumbaka mwanafunzi wake

Mwalimu wa Shule ya Sekondari Mahiwa, wilaya na mkoa wa Lindi, John Ngalu (38) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya mkoa wa Lindi kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi wake anayesoma kidato cha tano.

Hayo yalielezwa jana na wakili wa serikali, Juma Maige alipozungumza na Muungwana Blog, ofisini mwake mjini Lindi.

Maige alisema Ngalu alipandishwa kizimbani tarehe 5 mwezi huu baada ya kufunguliwa kesi ya jinai yenye namba za jalada 4/2020, na kuongeza kuwa kitendo hicho kilifanyika kwenye nyumba anayoishi mwalimu huyo. Ambayo ipo katika eneo la shule hiyo.

Alisema mshitakiwa huyo alikutwa usiku baada baadhi ya wananchi ambao ni raia wema kutoa taarifa,kwa wananchi wenzao ambao walipokwenda eneo la tukio walimkuta akifanya mapenzi na mwanafunzi wake huyo.

Maige alisema inadaiwa kuwa kitendo cha namna hiyo kwa mwalimu huyo na mwanafunzi wake ni cha muda mrefu. Hali iliyo sababisha wananchi hao wamchoke na kuamua kumkamata.

Kesi hiyo itaendelea tena tarehe 13 Februari 2020. Huku Ngalu akirudishwa mahabusu baada kushindwa kutekeleza vigezo na masharti ya dhamana.

Chanzo: muhabarishaji.com
Sasa mbona mnasema kesi itaendelea tena tarehe 13 Februari? Itaendelea kivipi wakati tayari mshtakiwa ameisha hukumiwa miaka 30 jela.
 
Uwiiii[emoji24][emoji24][emoji24]! Uwiiii[emoji24][emoji24][emoji24]! Jamani malezi gani hayo?? Mie nimekutanaga na mazangu twice harusi za ndugu zetu ...Basi harusi ya kwanza ilikua Kigoma...nikajiachia...wine kwasana...then tukaarange tukitoka harusini walau twende kwenye bangs...mbona mama alinifata? Aliniambia ukipata matatizo huku unadhan nitaelewekaje kwa mkwe[emoji3][emoji3]! Akasema Rudi nyumbani..utajirusha ukirudi kwako sio huku[emoji3][emoji3]!nikatii kimtindo
Hii ya pili ilikua dar. .muda wote alikua ananikata jicho..anajiuliza huyu furaha yake mbona Kama umezidi[emoji38][emoji38]maana kila mziki nimooo...akaona hapana .akanifata nikae kwa meza yake ajue nakunywa Nini[emoji38][emoji38]! ..nadhan ni malezi na kutosikiliza wazazi

yani hata mimi nilishangaa sana ikabidi nifanye haraka niamshe.
hahahaha maza ako noma sana,huyo ndio maza wa kitanzania
 
Back
Top Bottom