Ghost Worker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 1,412
- 1,864
Duh, nampata sana huyu bro, chuo alikaa chumba kimoja na mwanangu mmoja hivi. Tena ana mke mzuri tu, kesho masela wanaanza foleni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabsaUkitembea na mtoto chini ya miaka 18 awe kataka au hajataka umebaka ukikutana na wazazi mabandidu huchomoi lazma ule 30 years safi...
Sasa hapo ina onekana wazazi walikaza jamaa akome..
Mabaharia kuweni makini
Kwenye kesi kama Hizi wazazi ndo huwa wanashikaa bangooo...!! Daah jamaa namuonea hurumaaUkitembea na mtoto chini ya miaka 18 awe kataka au hajataka umebaka ukikutana na wazazi mabandidu huchomoi lazma ule 30 years safi...
Sasa hapo ina onekana wazazi walikaza jamaa akome..
Mabaharia kuweni makini
Hana mimbaa mkuu...!!watetezi wa haki za wanawake mbona mko kimya hapa, simamieni na hili sasa..
Mama kafukuzwa shule, Baba wa mtoto jela 30yrs.
Mtoto akizaliwa baba yake yuko jela na mama yake kafukuzwa shule, what a future for this innocent kid..
Wapi pameandikwa huyo mwanafunzi ana mimba?watetezi wa haki za wanawake mbona mko kimya hapa, simamieni na hili sasa..
Mama kafukuzwa shule, Baba wa mtoto jela 30yrs.
Mtoto akizaliwa baba yake yuko jela na mama yake kafukuzwa shule, what a future for this innocent kid..
Basi umesoma kichwa cha habari ukakimbilia kucoment, habari ya mimba umeipata wapi? Au aliyefungwa ni ndugu yakoHizi sheria ziangaliwe upya na hawa mabinti itafutwe namna nyingine ya kuwalinda, kifupi hapa hakuna haki na kiumbe kitakachozaliwa kinaweza kufungua kesi na kudai fidia kubwa kwa kuharibiwa future na waliomfukuza mama na kumfunga jela baba..
Basi umesoma kichwa cha habari ukakimbilia kucoment, habari ya mimba umeipata wapi? Au aliyefungwa ni ndugu yako
kidato cha 5 hana miaka 18Mkuu. Hii adhabu ya kumfunga mtu anayetembea na mwanafunzi, mtu mzima miaka 30 ni ujinga uliopitiliza. Hata kama tunataka kuwalinda wanafunzi siyo kwa adhabu ya kishetani namna hiyo. Adhabu ilitakiwa kuwa mwalimu kufukuzwa kazi na kuzuiwa kufanya tena kazi ya ualimu. Lakini miaka thelathini kwa kutembea na mwanafunzi mtu mzima tena ameliyekubali kwa hiyari yake?
Yani labda ukute wazazi hawana nyuma wala mbele utachomoka ila ka wazazi wanajielewa na wapo safi kidogo hutoki dadeki hadi ripoti ya kuoneshwa umebaka itatoka ili cha mto uoneKwenye kesi kama Hizi wazazi ndo huwa wanashikaa bangooo...!! Daah jamaa namuonea hurumaa
soma mpaka mwisho Mkuu. hapo pana habari 2Sasa mbona mnasema kesi itaendelea tena tarehe 13 Februari? Itaendelea kivipi wakati tayari mshtakiwa ameisha hukumiwa miaka 30 jela.
kamlipia Mahari?Kama mwalimu alikuwa akila mzigo daily mpaka raia wema kumchoka, huo sio ubakaji.
Na inakuwaje mwanafunzi anaadhibiwa kwa kufukuzwa shule kama alikuwa anabakwa? Double punishment?
Haki haijaendeka kwa mwalimu. Form 5 ni mtu mzima kabisa huyo na ukute labda alianza kugawa tangia form one
Haya uwe unasoma kwa utulivu!!dah nahisi nilikuwa na hangover...sorry kwa comfussion..
Swali limeshiba vzr sanaSasa kama kabakwa kwanini mwanafunzi anafukuzwa shule tena?
Kazi ipoDuh, nampata sana huyu bro, chuo alikaa chumba kimoja na mwanangu mmoja hivi. Tena ana mke mzuri tu, kesho masela wanaanza foleni.