Mwalimu aliyeshtakiwa kwa kumbaka Mwanafunzi ahukumiwa miaka 30 jela. Mwanafunzi afukuzwa shule

Mwalimu aliyeshtakiwa kwa kumbaka Mwanafunzi ahukumiwa miaka 30 jela. Mwanafunzi afukuzwa shule

Hizi adhabu ni kukomoana tu ,mbona student mkubwa huyo
 
Ukitembea na mtoto chini ya miaka 18 awe kataka au hajataka umebaka ukikutana na wazazi mabandidu huchomoi lazma ule 30 years safi...

Sasa hapo ina onekana wazazi walikaza jamaa akome..
Mabaharia kuweni makini
Kwenye kesi kama Hizi wazazi ndo huwa wanashikaa bangooo...!! Daah jamaa namuonea hurumaa
 
watetezi wa haki za wanawake mbona mko kimya hapa, simamieni na hili sasa..

Mama kafukuzwa shule, Baba wa mtoto jela 30yrs.
Mtoto akizaliwa baba yake yuko jela na mama yake kafukuzwa shule, what a future for this innocent kid..
Hana mimbaa mkuu...!!
 
Wapi pameandikwa huyo mwanafunzi ana mimba?
 
Hizi sheria ziangaliwe upya na hawa mabinti itafutwe namna nyingine ya kuwalinda, kifupi hapa hakuna haki na kiumbe kitakachozaliwa kinaweza kufungua kesi na kudai fidia kubwa kwa kuharibiwa future na waliomfukuza mama na kumfunga jela baba..
Basi umesoma kichwa cha habari ukakimbilia kucoment, habari ya mimba umeipata wapi? Au aliyefungwa ni ndugu yako
 
Mkuu. Hii adhabu ya kumfunga mtu anayetembea na mwanafunzi, mtu mzima miaka 30 ni ujinga uliopitiliza. Hata kama tunataka kuwalinda wanafunzi siyo kwa adhabu ya kishetani namna hiyo. Adhabu ilitakiwa kuwa mwalimu kufukuzwa kazi na kuzuiwa kufanya tena kazi ya ualimu. Lakini miaka thelathini kwa kutembea na mwanafunzi mtu mzima tena ameliyekubali kwa hiyari yake?
kidato cha 5 hana miaka 18
mwache afungwe tu, yeye kala mara moja, 2,3,4 mwishowe kaweka kimada mpaka Wananchi wanchukia
Bint akipata mimba, haruhusiwi tena kuendelea
hili ni kuendekeza ngono
huko kusini badillikeni, hao watoto msiwaoe
 
Kama mwalimu alikuwa akila mzigo daily mpaka raia wema kumchoka, huo sio ubakaji.

Na inakuwaje mwanafunzi anaadhibiwa kwa kufukuzwa shule kama alikuwa anabakwa? Double punishment?

Haki haijaendeka kwa mwalimu. Form 5 ni mtu mzima kabisa huyo na ukute labda alianza kugawa tangia form one
 
Sasa mbona mnasema kesi itaendelea tena tarehe 13 Februari? Itaendelea kivipi wakati tayari mshtakiwa ameisha hukumiwa miaka 30 jela.
soma mpaka mwisho Mkuu. hapo pana habari 2
ipo aliyofungwa, na ipo habari tangulizi wakati wa kesi miaka ya nyuma
zimetengenishwa na dashdash ======================
 
Kama mwalimu alikuwa akila mzigo daily mpaka raia wema kumchoka, huo sio ubakaji.

Na inakuwaje mwanafunzi anaadhibiwa kwa kufukuzwa shule kama alikuwa anabakwa? Double punishment?

Haki haijaendeka kwa mwalimu. Form 5 ni mtu mzima kabisa huyo na ukute labda alianza kugawa tangia form one
kamlipia Mahari?
Form 5 sekondari bado ni mwanfunzi na adhabu ni miaka 30
mzazi anajua mtoto yupo shule, kumbe kuna vijeba wanaweka kinyumba
kwani angekula mara moja Wananchi wangechukia?
sasa Mwl kaweka ni ada na kuoa hataki
acha wakamuoe hiyo miaka 30
 
Nadhani wengi hamuelewi humu ukilala na mtu chini ya miaka 18 kwa hiari yake, kakutega yeye au umemlazimisha hiyo kisheria ni ubakaji hata kama huyo binti ni mzoefu. Sikumbuki mkiwa wote chini ya 18 kama bado ni ubakaji. Kwa usalama wa maisha yako, future yako na marinda yako kuliwa na bwana nyampara achana na under 18 hata akija uchi maana unaweza tegwa
 
Nataman sana sheria ya ubakaji adhabu yake itolewe kutokana na umri wa mtenda kosa. Kwa mfano adhabu atakayopewa kijana wa miaka 20 aliyesex na bint wa miaka 17 iwe tofauti na mwanaume mwenye miaka 30, 40, 50... n.k. nasema hvyo kwa sababu kijana wa miaka 20 na binti wa miaka 17 n kama rika moja na uelewa wa kuamua Mambo ni tofauti na mwanaume mwenye miaka 40 anauelewa mkubwa zaidi.
 
Back
Top Bottom