Mwalimu aliyeshtakiwa kwa kumbaka Mwanafunzi ahukumiwa miaka 30 jela. Mwanafunzi afukuzwa shule

Mwalimu aliyeshtakiwa kwa kumbaka Mwanafunzi ahukumiwa miaka 30 jela. Mwanafunzi afukuzwa shule

Yani labda ukute wazazi hawana nyuma wala mbele utachomoka ila ka wazazi wanajielewa na wapo safi kidogo hutoki dadeki hadi ripoti ya kuoneshwa umebaka itatoka ili cha mto uone
Kweli mkuu...Kama familia ya walala hoi unawahonga laki 5 sijui Mil wanakaushaaa...!! Ilaa hizi zinajikuta familia bora mbona unaloo
 
Hizi sheria ziangaliwe upya na hawa mabinti itafutwe namna nyingine ya kuwalinda, kifupi hapa hakuna haki na kiumbe kitakachozaliwa kinaweza kufungua kesi na kudai fidia kubwa kwa kuharibiwa future na waliomfukuza mama na kumfunga jela baba..
Au sijaelewa vizuri, sijaona sehemu waliposema binti ni mjamzito
 
Back
Top Bottom