Yani labda ukute wazazi hawana nyuma wala mbele utachomoka ila ka wazazi wanajielewa na wapo safi kidogo hutoki dadeki hadi ripoti ya kuoneshwa umebaka itatoka ili cha mto uone
Hizi sheria ziangaliwe upya na hawa mabinti itafutwe namna nyingine ya kuwalinda, kifupi hapa hakuna haki na kiumbe kitakachozaliwa kinaweza kufungua kesi na kudai fidia kubwa kwa kuharibiwa future na waliomfukuza mama na kumfunga jela baba..