Mwalimu aliyetoweka Simiyu akutwa amefariki Musoma

Shida ndizo hupelekea mtu kufanya mambo haya,fikiri mwalimu msomi alijua kuwa anaenda kujikomboa kwa biashara ila kakutana na sharti la mganga ndo imekuwa mwisho wa ualimu na biashara kwa pamoja.
Walimu ni matahila huwa nasema kila siku
 
Chizi kweli wewe, unafiri hapa ni kwenu, jamiiforum is free chat where we dare to talk
 
Sasa hapo motive ya wauaji ni very obvious, wamempora pesa na kumuua.

Ila nyie mods , Moderator , mnaona maudhui ya huu uzi hayapaswi kuwa moderated, mnaona sawa tu?
 
Sasa hapo motive ya wauaji ni very obvious, wamempora pesa na kumuua.

Ila nyie mods , Moderator , mnaona maudhui ya huu uzi hayapaswi kuwa moderated, mnaona sawa tu?
Huko timamu wewe, sasa kama marehemu kafa Kwa upumbavu wake unataka sisi ndotuhuzunike, lofer limetoka simiyu uko kwenda kutafuta uchawi limekufa then mje mseme mpwayungu ni mbaya
 
Huko timamu wewe, sasa kama marehemu kafa Kwa upumbavu wake unataka sisi ndotuhuzunike, lofer limetoka simiyu uko kwenda kutafuta uchawi limekufa then mje mseme mpwayungu ni mbaya
Si sahihi kusema yeye ni lofa, mtu anaweza kuvamiwa na jambazi popote na akauwawa.., nadhani ni tragic incident, Mungu awape nguvu familia yake.., ni wakati mgumu wanapitia, pengine alikuwa na watoto.., inasikitisha.

By the way, watch your mouth.
 
Stress zako zilizosababishwa na wewe mwenyewe juu ya deni lako serikalini linalokupunguzia ki mshahara chako isiwe chanzo cha kuchafua ualimu,

Umekaa unausema vibaya ualimu mbona uuachi kama we mwamba kweli

Na usipokuwa makini kutatua changamoto zako maishani utachizi wewe.
 
Si sahihi kusema yeye ni lofa, mtu anaweza kuvamiwa na jambazi popote na akauwawa.., nadhani ni tragic incident, Mungu awape nguvu familia yake.., ni wakati mgumu wanapitia, pengine alikuwa na watoto.., inasikitisha.

By the way, watch your mouth.
Yani iko hivi, angevamiwa na wezi ningetoa hata pesa ya jeneza ila JITU lililokufa Kwa kutafuta uchawi tena jalimu mm siwez huzunika, usimwache mchawi akaishi
 
Ana stress za kufa mtu. Kaka mpwayungu village njoo nikuliwaze. Hakikisha unakunywa supu ya pweza kwanza
Yeah anamsongo mkubwa wa mawazo juu ya deni alilokopa serikalini na hela imeisha bila kufanya la maana,

Sasa ujinga wake unamfanya achukie kazi ya ualimu lakini chakushangaza aiachi kazi hii

Awe makini atachizi awe mweu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…