Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Huyu wa leo naomba akapimwe akili jamani
Yaani kwa kuumizwa kule mwanfunzi hawa walimu
Sio hivi hivi wana shida ya utimamu wa akili jamani. Yaani mwenzio kachafua hali ya hewa hana wiki na wewe unaenda kurudia yale yale
Hivi walimu mmelogwa?Au ndio kampeni yenu mmeiandaa 2023 kuumiza watoto wetu
Embu mtuache narudia tusije tukapelekana madhabahuni kwa kuhani Musa ama Mwamposa awashugulikie
Haka kamchezo inaoekana ni ka siku nyingi sana Serikali ipite kila shule iwahoji wanafunzi mahusiano yao na walimu
Kama sio binadamu kweli? Naangalia mtoto ITV usiku huu natamani nijue alipo huyo mwalimu nimshugulikie
Alamsiikiii