Mwalimu amchapa mwanafunzi na kumuumiza shule ya Msingi Kinondoni, Walimu mmelogwa?

Mwalimu amchapa mwanafunzi na kumuumiza shule ya Msingi Kinondoni, Walimu mmelogwa?

Huyu wa leo naomba akapimwe akili jamani

Yaani kwa kuumizwa kule mwanfunzi hawa walimu

Sio hivi hivi wana shida ya utimamu wa akili jamani. Yaani mwenzio kachafua hali ya hewa hana wiki na wewe unaenda kurudia yale yale

Hivi walimu mmelogwa?Au ndio kampeni yenu mmeiandaa 2023 kuumiza watoto wetu

Embu mtuache narudia tusije tukapelekana madhabahuni kwa kuhani Musa ama Mwamposa awashugulikie

Haka kamchezo inaoekana ni ka siku nyingi sana Serikali ipite kila shule iwahoji wanafunzi mahusiano yao na walimu

Kama sio binadamu kweli? Naangalia mtoto ITV usiku huu natamani nijue alipo huyo mwalimu nimshugulikie

Alamsiikiii
Waalimu hawajielewi,mimi binafsi nimewaambia walimu wengi tu,waache kuadhibu wanafunzi kwa adhabu zisizo na manufaa.Hawajielewi.
 
Huyu wa leo naomba akapimwe akili jamani

Yaani kwa kuumizwa kule mwanfunzi hawa walimu

Sio hivi hivi wana shida ya utimamu wa akili jamani. Yaani mwenzio kachafua hali ya hewa hana wiki na wewe unaenda kurudia yale yale

Hivi walimu mmelogwa?Au ndio kampeni yenu mmeiandaa 2023 kuumiza watoto wetu

Embu mtuache narudia tusije tukapelekana madhabahuni kwa kuhani Musa ama Mwamposa awashugulikie

Haka kamchezo inaoekana ni ka siku nyingi sana Serikali ipite kila shule iwahoji wanafunzi mahusiano yao na walimu

Kama sio binadamu kweli? Naangalia mtoto ITV usiku huu natamani nijue alipo huyo mwalimu nimshugulikie

Alamsiikiii
Halafu mtoto anachapwa hadi kufikia hatua hiyo walimu wengine wanakuwa wako wapi? Na kama mhusika ni mwalimu mkuu anajifanya ana mammlaka, kwa nini wasimchape makofi na kumripoti kwenye mamlaka za juu ili na huo ukuu wake unyofolewe kabisa?
Possibly inabidi tuweke kanuni kwamba inapotokea mtoto amechapwa shukeni kwa mtindo huu, WALIMU WOTE WALIOKUWEPO SHULENI SIKU HIYO, WAWAJIBIKE KATIKA KIWANGO SAWA NA CHA MCHAPAJI
 
Basii aqwaahi ona matako ya babazaooo .dah Pugu sec alikuwwepo.mwamba anajiita mabagala sura nyeusi yaan bila kupiga ovyo aridhiliki baba yule ila ndie liechangia tukaiona udsm wallahi na kujua jinsi y kuishi na watu
Mabagala alikuwa hachapi, ulikuwa ni mkwara tu wa mdomoni na kutembea huku akiwa ameshika fimbo mkononi.
Namkumbuka sana niliwahi kumuuzia sponge yangu ya kulalia nilipomaliza F6, ilikuwa na viwango aliipenda!
 
Huyo haujui ualimu ,mimi natamani kumpiga mpaka Mkuu wa shule,

My life is not your life, mind your own business
Kwenye shule kama hizi, mimi naweza kujeruhi walimu wapumbavu halafu nikapata matatizo. Hasa hao miamba wanaojiita wakuu wa shule.

Huu upumbavu mimi ulishanikifu milele tangu nasoma O-level, na mtu wa kwanza kabisa mimi kuwahi kumchukia katika maisha yangu, nilimchukia kwa sababu ya upumbavu huu
 
Sio wiki sku tatu tuu zinamtosha kujua jinsi ilivyo kazi kufundisha watoto wa mlo mmoja Kwa sku
Si siku tatu , akikaa masaa matatu tu atakuwa amenyoosha mikono juu na kuacha kabisa kuwalaumu walimu milele.
 
Msiichukulie poa pia kazi ya ualimu kuwa kama u "house girl". Umempeleka mtoto shule afundishwe kujua kusoma,kuandika na kuhesabu kwa shule za msingi na kwa sekondari kumudu stadi/masomo yote ya sekondari. Pamoja na hayo mtoto afundishwe nidhamu na maisha ya kijamii. Jikite/Fuatilia matokeo ya malengo yaliyopo kwa mtoto. Usipokuwa mnafiki linganishi adhabu za kipindi chako(yamkini zikakufikisha hapo ulipo) vs adhabu wanafunzi wa Leo!!! Kizazi hiki cha bloire shiiiida. Akichapwa fimbo tatu kesho hatembei mwanafunzi bali anatembea mzazi/mlezi kumshtaki mwl huku hajawahi kumpongeza mwl hata kwa mabadiliko chanya ya mtoto wake!!!! Usiombe mwanao asuswe.....zero itafika mlangoni kwako na lazima utaifungulia!!!!!
Dawa ni kususa tu , walimu waitishe miikutano waulize akina nani wanaruhusu watoto wao wachapwe wale ambao hawataki waache kuwachapa mwisho yapimwe matokeo nina uhakika wale wanaochapwa watakuwa na alama bora kuliko hawa wasiochapwa.

Tusilete uzungu Africa katika hili la fimbo lazima tujadili upya kabisa ,wachapwe kwa standard zinazotakiwa , afu wazazi mbona wanawachapa watoto hadi na mafyekeo kabisa ila wanaona sawa tu?

Walimu Mungu atawalipa mwenyewe
 
P....aafu apongezwe s wajibu wake mnapiga watotooo kisa ampongezwi aiseee.......
Mkuu kama unaongea na kunfwatilia mwanao hayo mazero anabeba mrtoto wa mwl
watoto
wetu wako wazi mkuu hufundishi anaulza unachuna anasema kuwa close na mtoto uone maendeleo yake
Wewe ni mwalimu?
 
Kwenye shule kama hizi, mimi naweza kujeruhi walimu wapumbavu halafu nikapata matatizo. Hasa hao miamba wanaojiita wakuu wa shule.

Huu upumbavu mimi ulishanikifu milele tangu nasoma O-level, na mtu wa kwanza kabisa mimi kuwahi kumchukia katika maisha yangu, nilimchukia kwa sababu ya upumbavu huu
Mkuu wa shule ameambiwa ufaulu usipovuka 90% anapigwa chini unategemea awe mlendamlenda? Atakushughulikia ipasavyo tu kama unahisi mwanao anaonewa kaa naye nyumbani mfundishe mwenyewe , usiingie mashuleni atapigwa tu bara bara.

Unamwita mwl mpumbavu afu unatamani umpige , hiyo kanuni ya kumpiga mpumbavu umeitoa wapi?

Kama unavyotamani umpige mwl unayedai ni mpumbavu ndivyo anavyoshindwa kuvumilia kutokumpiga mwanao mpumbavu+
 
Huyu wa leo naomba akapimwe akili jamani

Yaani kwa kuumizwa kule mwanfunzi hawa walimu

Sio hivi hivi wana shida ya utimamu wa akili jamani. Yaani mwenzio kachafua hali ya hewa hana wiki na wewe unaenda kurudia yale yale

Hivi walimu mmelogwa?Au ndio kampeni yenu mmeiandaa 2023 kuumiza watoto wetu

Embu mtuache narudia tusije tukapelekana madhabahuni kwa kuhani Musa ama Mwamposa awashugulikie

Haka kamchezo inaoekana ni ka siku nyingi sana Serikali ipite kila shule iwahoji wanafunzi mahusiano yao na walimu

Kama sio binadamu kweli? Naangalia mtoto ITV usiku huu natamani nijue alipo huyo mwalimu nimshugulikie

Alamsiikiii
Kwa uandishi huu waanza kwanza na wewe kukupima UTI
 
Mwenye hii post ulipo una shida ya akili, ushawai funza darasa lina watoto 140 ,stream nzima watoto karibia 400 ukajua shida wanayopotia hawa walimu.

Wangu nimempa mwalimu ruksa, vunja hata mkono nitamtibu, zamani tulikuwa tunyukwa sembuse hichi kizazi Cha mashoga na lesbians

Kama anarekebisha kosa au utovu wa nidhamu ,au kusisitiza mwanafunzi afaulu mzazi yeyote hafai kulalamika, ukiona shida, mchukue ukae naye kwako umfunze wewe, mtoto wako mbeleni akifanikiwa masomo wangapi Huwa tunarudi kumrejeshea shukrani hata ya soda mwalimu aliyesumbuka mwanao apite?

I'm not a teacher but let's give these guys a break
Wewe ni mwalimu acha uongo na ualimu ni wito sio vita kwa watoto,
Unataka upewe ahsante kwani hulipwi mshahara? Kila kada ikitaka ahsante tutafika kweli?
 
Waalim wana stress, hawako sawa, pesa haitoshi
Waache kazi wakatafute kwenye pesa nyingi, yanini kuishi kwa majuto ya kazi yako mwenyewe.
Na haya mambo ni kwa shule za serikali tu, sijawahi sikia shule za privates huo ujinga
 
Mkuu wa shule ameambiwa ufaulu usipovuka 90% anapigwa chini unategemea awe mlendamlenda? Atakushughulikia ipasavyo tu kama unahisi mwanao anaonewa kaa naye nyumbani mfundishe mwenyewe , usiingie mashuleni atapigwa tu bara bara.

Unamwita mwl mpumbavu afu unatamani umpige , hiyo kanuni ya kumpiga mpumbavu umeitoa wapi?

Kama unavyotamani umpige mwl unayedai ni mpumbavu ndivyo anavyoshindwa kuvumilia kutokumpiga mwanao mpumbavu+
Tatizo tunaloongelea hapa siyo kuchapa watoto bali NI AINA YA UCHAPAJI. Watoto si wanachapwa tu kila mahali, hata nyumbani kwako wewe huwa unawachapa watoto wako? Hapa tunachoongelra ni AINA YA UCHAPAJI na si uchapaji. Kweli ni lazima watoto wachapwe viboko, hata mimi mwenyewe huwa siwacheleweshi ISIPOKUWA KANUNI YA UCHAPAJI LAZIMA IFUATWE. Kanuni za uchapaji zinapokiukwa, wanaokiuka wanakuwa ni wapumbavu
 
Yeah, Selemani alikua ana bakora zake hivi [emoji1787], alafu kama anasinzia , masalu namkumbuka yule. Walikuepo wengine pia Mwl Rose, Katakula (Mkuu) Mwl Mpapi, Nyanusi etc
Emu ngoja kwanza huyu Katakula ndio yule aliyekua anaishi Ipuli? Mshua mmoja wa kujipenda.
 
Sio hivi hivi wana shida ya utimamu wa akili jamani. Yaani mwenzio kachafua hali ya hewa hana wiki na wewe unaenda kurudia yale yale
This is unusual, usikute kuna ujumbe ambao walimu wanataka kuufikisha lkn bado wang'amuzi wa mambo bado kung'amua....na huenda wanaendelea hadi waeleweke!!!
 
Back
Top Bottom