Mwenye hii post ulipo una shida ya akili, ushawai funza darasa lina watoto 140 ,stream nzima watoto karibia 400 ukajua shida wanayopotia hawa walimu.
Wangu nimempa mwalimu ruksa, vunja hata mkono nitamtibu, zamani tulikuwa tunyukwa sembuse hichi kizazi Cha mashoga na lesbians
Kama anarekebisha kosa au utovu wa nidhamu ,au kusisitiza mwanafunzi afaulu mzazi yeyote hafai kulalamika, ukiona shida, mchukue ukae naye kwako umfunze wewe, mtoto wako mbeleni akifanikiwa masomo wangapi Huwa tunarudi kumrejeshea shukrani hata ya soda mwalimu aliyesumbuka mwanao apite?
I'm not a teacher but let's give these guys a break