Mwalimu amchapa mwanafunzi na kumuumiza shule ya Msingi Kinondoni, Walimu mmelogwa?

Mwalimu amchapa mwanafunzi na kumuumiza shule ya Msingi Kinondoni, Walimu mmelogwa?

Mleta mada mbona unamzuk mwingin, kaa tulia Tuletee habar iliyokamili , usitubebesha muhemko wako
 
Me ndo huo muda wa kuchapa watoto wenu sina.... Nipo busy na kishkwambi changu nimetupiamo series tu naangalia
 
Mambo yanakuzwa tu, hasa huyo mwandishi wa ITV boya kabsa, badala ya kufuatilia vitu vyenye maana eti anaangaika huku na huku kubalansi story, jinga sana ningekutana naye yule mwandishi ningemcharaza fimbo, wabunge kila siku wanaibua madudu kibao katika serikali lkn sijawahi kuona anaangaika kuutafuta ukweli.
 
Mambo yanakuzwa tu, hasa huyo mwandishi wa ITV boya kabsa, badala ya kufuatilia vitu vyenye maana eti anaangaika huku na huku kubalansi story, jinga sana ningekutana naye yule mwandishi ningemcharaza fimbo, wabunge kila siku wanaibua madudu kibao katika serikali lkn sijawahi kuona anaangaika kuutafuta ukweli.
Mambo ya kupiga watoto ni upumbavu sana haya ndiyo yameleta mpaka police wakawa katri Kwa watuhuniwa. Binadamu ana haki zake
 
Mwenye hii post ulipo una shida ya akili, ushawai funza darasa lina watoto 140 ,stream nzima watoto karibia 400 ukajua shida wanayopotia hawa walimu.

Wangu nimempa mwalimu ruksa, vunja hata mkono nitamtibu, zamani tulikuwa tunyukwa sembuse hichi kizazi Cha mashoga na lesbians

Kama anarekebisha kosa au utovu wa nidhamu ,au kusisitiza mwanafunzi afaulu mzazi yeyote hafai kulalamika, ukiona shida, mchukue ukae naye kwako umfunze wewe, mtoto wako mbeleni akifanikiwa masomo wangapi Huwa tunarudi kumrejeshea shukrani hata ya soda mwalimu aliyesumbuka mwanao apite?

I'm not a teacher but let's give these guys a break
Wangu atarudisha mifupa tu....

siwezi kaa na mpumbavu anayejaza choo tu na hajitambui kazi yake nyumbani kuwasha tv na kula kulala .....asome
 
Mambo ya kupiga watoto ni upumbavu sana haya ndiyo yameleta mpaka police wakawa katri Kwa watuhuniwa. Binadamu ana haki zake
ELewa nilichoandika, tunayo mambo mengi ya kufuatilia pengine yangepewa umuhimu na chombo cha habari kama itv hilo la mwl kumpiga mwanafunzi wala haliwezi kujitokeza.
 
Kila kitu kina kiasi ndugu usisapoti ujinga angalia itv habari /u tube ocha kabisa angekuwa mwanao uisingeandika haya..wa mwenzioo haaa ..wingi wa waanafunxi aukupi ruksa y kupiga mtotoo kupitilizaaa
Kumbuka shida sio kupiga n kwa nn umuumize mtoto kiasi kile hanaaadabu mwambie ukimwona
..
Wewe na hao waandishi Koko wa habari waliopewa vijibahasha vya khaki kuandika na kujaza chumvi habari hiyo mlaaniwe!
Jeraha alilonalo mtoto limetokana na kujiunguza na pasi kwa bahati mbaya siku ya jumatatu asubuhi wakati akinyoosha shati yake ya shule na halijatokana na fimbo ya mwalimu!
Acha kuongelea Jambo ambalo hujalishuhudia Wala kumhoji mhanga kwani hutopata uhalisia.
Nimekuwepo shuleni hapo tangu Jana nikiwafanyia wadau mbalimbali mahojiano ya Ana kwa Ana na mtoto mwenyewe na kuujua ukweli! Acheni kuwasakama walimu Kama kweli mnawatakia watoto wenu future ya uhakika.
 
Tatizo lenu hamuelewi na mmejaa uzungu ujinga, mwaka fulani Kuna kesi ilifika mpaka kwa DEO kesi ilimuhusu mwanafunzi aliekataa kunyoa ndevu kisa mafundisho ya imani yake hayaruhusu. Alikua anasema yeye yuko tayari afukuzwe kuliko kunyoa, anasema Allah amekataa kunyoa.

Mtoto kama huyu akiadhibiwa na kuambiwa kanyoe Kuna nanga kama wewe utapiga kelele, Hawa walimu wana stress za maisha bado watoto wawasumbue mwisho kabisa raia nao wanalipuka wahurumieni zaidi sana wapeni ushirikiano
Mwalimu ukiona kazi ngumu acha nenda ukawe machinga au mkulima, kupiga watoto hakukuletei maisha bora zaidi uishie jela tu.
 
Hujajibu swali, hizo cases tunazisikia kwa goverment schools mbona privates schools atuzisikii?
Wataka kusema Feza, IST zinachapa wanafunzi wao?
Ha ha we mbona unateseka sana na viboko vya watoto watukutu na mimi nasema wapigwe tu!! Hapo vipi?

Iambie serikali yako huko bongo iboreshe maslahi ya watumishi hasa walimu kama huko IST..upo?

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom