Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,264
- 10,535
Kwa hiyo unakubali kua Waalimu wanachapa watoto sababu ya maslahi madogo na sio kama watoto wameshindikana hata kufikia kuwapiga kama wanaua Nyoka,Ha ha we mbona unateseka sana na viboko vya watoto watukutu na mimi nasema wapigwe tu!! Hapo vipi?
Iambie serikali yako huko bongo iboreshe maslahi ya watumishi hasa walimu kama huko IST..upo?
Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
Na umekubali shule kama Feza, Ist hawapigi watoto na sio kama hawakosei ila maslahi ya waalimu ni makubwa,
Ndio maana nikasema ukiona maslahi hayalipi kwa kazi yako achana nayo tu tafuta nyingine kuliko kuumiza watoto wasio na hatia.