Mwalimu amchapa mwanafunzi na kumuumiza shule ya Msingi Kinondoni, Walimu mmelogwa?

Mwalimu amchapa mwanafunzi na kumuumiza shule ya Msingi Kinondoni, Walimu mmelogwa?

Huyu wa leo naomba akapimwe akili jamani

Yaani kwa kuumizwa kule mwanfunzi hawa walimu

Sio hivihivi wanashida ya utimamu wa akili jamani
Yaani mwenzio kachafua hali ya hewa hana wiki na wewe unaenda kurudia yale yale

Hivi walimu mmelogwa?Au ndio kampeni yenu mmeiandaa 2023 kuumiza watoto wetu

Embu mtuache narudia tusije tukapelekana madhbahuni kwa kuhani Musa ama Mwamposa awashugulikie

Haka kamchezo inaoekana ni ka siku nyingi sana serikali ipite kila shule iwahoji wanafunzi mahusiano yao na walimu

Kama sio binadamu kweli? Naangalia mtoto ITV usiku huu natman nijue alipo huyo mwl...nimshugulikie

Alamsiikiii
Msiichukulie poa pia kazi ya ualimu kuwa kama u "house girl". Umempeleka mtoto shule afundishwe kujua kusoma,kuandika na kuhesabu kwa shule za msingi na kwa sekondari kumudu stadi/masomo yote ya sekondari. Pamoja na hayo mtoto afundishwe nidhamu na maisha ya kijamii. Jikite/Fuatilia matokeo ya malengo yaliyopo kwa mtoto.

Usipokuwa mnafiki linganishi adhabu za kipindi chako(yamkini zikakufikisha hapo ulipo) vs adhabu wanafunzi wa Leo!!! Kizazi hiki cha bloire shiiiida. Akichapwa fimbo tatu kesho hatembei mwanafunzi bali anatembea mzazi/mlezi kumshtaki mwl huku hajawahi kumpongeza mwl hata kwa mabadiliko chanya ya mtoto wake!!!! Usiombe mwanao asuswe.....zero itafika mlangoni kwako na lazima utaifungulia!!!!!
 
Msiichukulie poa pia kazi ya ualimu kuwa kama u "house girl". Umempeleka mtoto shule afundishwe kujua kusoma,kuandika na kuhesabu kwa shule za msingi na kwa sekondari kumudu stadi/masomo yote ya sekondari. Pamoja na hayo mtoto afundishwe nidhamu na maisha ya kijamii. Jikite/Fuatilia matokeo ya malengo yaliyopo kwa mtoto. Usipokuwa mnafiki linganishi adhabu za kipindi chako(yamkini zikakufikisha hapo ulipo) vs adhabu wanafunzi wa Leo!!! Kizazi hiki cha bloire shiiiida. Akichapwa fimbo tatu kesho hatembei mwanafunzi bali anatembea mzazi/mlezi kumshtaki mwl huku hajawahi kumpongeza mwl hata kwa mabadiliko chanya ya mtoto wake!!!! Usiombe mwanao asuswe.....zero itafika mlangoni kwako na lazima utaifungulia!!!!!
P....aafu apongezwe s wajibu wake mnapiga watotooo kisa ampongezwi aiseee.......
Mkuu kama unaongea na kunfwatilia mwanao hayo mazero anabeba mrtoto wa mwl
watoto
wetu wako wazi mkuu hufundishi anaulza unachuna anasema kuwa close na mtoto uone maendeleo yake
 
Mwenye hii post ulipo una shida ya akili, ushawai funza darasa lina watoto 140 ,stream nzima watoto karibia 400 ukajua shida wanayopotia hawa walimu.

Wangu nimempa mwalimu ruksa, vunja hata mkono nitamtibu, zamani tulikuwa tunyukwa sembuse hichi kizazi Cha mashoga na lesbians

Kama anarekebisha kosa au utovu wa nidhamu ,au kusisitiza mwanafunzi afaulu mzazi yeyote hafai kulalamika, ukiona shida, mchukue ukae naye kwako umfunze wewe, mtoto wako mbeleni akifanikiwa masomo wangapi Huwa tunarudi kumrejeshea shukrani hata ya soda mwalimu aliyesumbuka mwanao apite?

I'm not a teacher but let's give these guys a break
Umeongea kiualimu haswaaa,

Asitekuelewa hapa awahi milembe haraka.
 
Mwenye hii post ulipo una shida ya akili, ushawai funza darasa lina watoto 140 ,stream nzima watoto karibia 400 ukajua shida wanayopotia hawa walimu.

Wangu nimempa mwalimu ruksa, vunja hata mkono nitamtibu, zamani tulikuwa tunyukwa sembuse hichi kizazi Cha mashoga na lesbians

Kama anarekebisha kosa au utovu wa nidhamu ,au kusisitiza mwanafunzi afaulu mzazi yeyote hafai kulalamika, ukiona shida, mchukue ukae naye kwako umfunze wewe, mtoto wako mbeleni akifanikiwa masomo wangapi Huwa tunarudi kumrejeshea shukrani hata ya soda mwalimu aliyesumbuka mwanao apite?

I'm not a teacher but let's give these guys a break
Tatizo anaye mrekebisha mwanao na yeye ana tatizo anaitaji kuchapwa akae sawa
 
Msiichukulie poa pia kazi ya ualimu kuwa kama u "house girl". Umempeleka mtoto shule afundishwe kujua kusoma,kuandika na kuhesabu kwa shule za msingi na kwa sekondari kumudu stadi/masomo yote ya sekondari. Pamoja na hayo mtoto afundishwe nidhamu na maisha ya kijamii. Jikite/Fuatilia matokeo ya malengo yaliyopo kwa mtoto. Usipokuwa mnafiki linganishi adhabu za kipindi chako(yamkini zikakufikisha hapo ulipo) vs adhabu wanafunzi wa Leo!!! Kizazi hiki cha bloire shiiiida. Akichapwa fimbo tatu kesho hatembei mwanafunzi bali anatembea mzazi/mlezi kumshtaki mwl huku hajawahi kumpongeza mwl hata kwa mabadiliko chanya ya mtoto wake!!!! Usiombe mwanao asuswe.....zero itafika mlangoni kwako na lazima utaifungulia!!!!!
Si ndio kazi aliyo chagua maana anaipenda anaiweza hakuna kazi nyepesi ila uki ipenda ina kuwa nyepesi
 
Maticha msijifiche kwenye kichaka cha sijui mitoto ya mlo mmoja Wala nn

Walimu mna stress sn hasa za waajiri wenu na za nyumbani mbapotoka hakueleweki ss mkifika shule hasira na ghadhabu zinahamia kwa wanafunzi.

Na Safari hii mtamulikwa sn kwa ujinga wenu, nyoka zipo kila mahala kuwamulika maticha msiojitambua

Povu hariruhusiwi kwenye koment hii.
 
Milambo barracks, nimesoma pia hapo naona umewataja wajeda tu, na kuwaacha kina selemani, masalu n.k

Kweli jf imekuwa sana
Yeah, Selemani alikua ana bakora zake hivi 🤣, alafu kama anasinzia , masalu namkumbuka yule. Walikuepo wengine pia Mwl Rose, Katakula (Mkuu) Mwl Mpapi, Nyanusi etc
 
Hawa watoto wa siku hizi soft sana, mbona enzi zile tumepigwa sana, shule ya jeshi, Milambo Barracks tumepigwa sana bakora za akina Mwl Chiwalo, Matwili, Matata and others
Yaani mi nakumbuka sijui mtoto gani alikutwa na barua ya mapenzi akiyanani tulixhezea darasa la tano wote yaani walimu walijipanga unapita kwa kila mwalimu anakuchapa isee walimu kama 15 ile siku ilikuwa balaa..
 
Shule gani hyo
 
Ah fimbo sita imekuwa kelele !
Hivi wanafunzi was kale tulikuwa wagum Sana au?
Niliwahi kupigwa na ticha flani hivi nikiwa secondaries Kama vile nimemwibia mkewe kisa TU nilitoroka kipindi Cha dini.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom