Mwalimu amchapa mwanafunzi na kumuumiza shule ya Msingi Kinondoni, Walimu mmelogwa?

Watoto wanapitia mengi! Wajibu wa wazazi kuwa karibu na kuzungumza na watoto wao, kujua yoyote, mazuri au mabays yanayowatokea. Wazazi tumezaa, ni wajibu wa lazima kuwalea watoto wetu!
 
wakung`utwe tu vitoto vingine vijeuri kamanini wazazi wenyewe wamewashindwa hawa watoto ndo maana wanawasukumizia walimu
 
Sitasahau siku mwanangu alipochapwa nikaenda nae shuleni nikamuadhibu aliyemchapa badala yake mimi ndio nikala Fimbo za walimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…