DOKEZO Mwalimu anajihusisha na mapenzi ya jinsia moja, anawafundisha wanafunzi pia. Serikali mko wapi?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Huyo mwalimu ni mfanyiwa au mfanyaji?Hebu eleza vizuri ndugu.Ni hatari sana kuridhishana kinyume na utaratibu,sheria,miongozo,imani na kimaumbile.
We umesoma huku ukikimbia nini? Amebainisha kuwa anakazwa yeye na wanafunzi na wanafunzi wamenogewa nao wanaenda kufanyiana wao kwa wao.
 
Mimi ni Mkazi wa Ifakara Mkoani Morogoro, nina kero moja ambayo naona kadiri siku zinavyozidi kwenda mbele mambo yanazidi kuharibika, bora niseme hapa kupitia JF ili ujumbe uwafikie wahusika kuanzia wazaz, walezi na mamlaka za juu.

Kuna shule hapa jirani yangu ambapo ilibidi nifanye mchakato wa kumuondoa maeneo hayo kutokana na kuharibika kimaadili.

Inaitwa Shule ya Sekondari Kibaoni, kuna Mwalimu mmoja wa kiume anajihusisha na mapenzi ya jinsia moja, kibaya zaidi amekuwa akiambukiza tabia hiyo kwa Wanafunzi wake.

Anawachukua Wanafunzi wa kiume anaenda nao nyumbani kwake ili wakamridhishe mahitaji yake ya kimwili.

Tabia hiyo ilianza kama siri na sasa inajulikana hadi ngazi ya uongozi wa shule na hadi Halmashauri, sasa imeanza kuhamia kwa Wanafunzi pia ambao ni kama wananogewa na ushenzi huo.

Baadhi ya viongozi wa Halmashauri ya Ifakara wanajua kinachoendelea lakini wanaogopa kuchukua maamuzi, wanamfichia siri Mwalimu huyo ili watu wengine wasijue.

Taarifa hii nimeijua kwa kuwa Watoto wenyewe wanasimuliana kila wanapoenda nyumbani kwa Mwalimu huyo (jina nalihifadhi kwa sasa).

Wizara ya Elimu, iingilie na kufuatilia kinachoendelea, Watoto wetu wanaharibiwa huku Ifakara.

Kukaa kimya kwa kuwa tu ni Shule ya Serikali kunamaanisha tunakubali kizazi kizidi kuharibika kwa kuwa uchunguzi wangu umebaini hata Wasichana nao wameanza kufanyiana michezo michafu.
Andika hii dukuduku lako kwenye karatasi na umtaje Kwa Jina then ukatupie hizo karatasi Kwa ofisi za Polisi,Kata,afisa Elimu nk Ili wachunguze.
 
😂😂😂 Nani jomba? Kuna mwamba moja ana duka la vifaa vya umeme mitaa ya kampala pub naskia nae ni punga sema ana macho ya kuita nyege balaa akikuangalia🏃🏃🏃
Mkali huyu uliyemtaja simpati ila hiyo mitaa ya Kampala naijua. Nilichokuwa nahisi ni kuhusu nyumba iliyoko maeneo ya Tazara huko wanakofukunyuana. Nina hakika kama nyumba yenyewe ndo ile basi hata mwenye nyumba nae ni upinde pro max
 
Unapoandika taarifa nyeti kama hizi,inabidi ujiridhishe kabisa pasi na shaka,siyo kusikia sikia habari za kuunga unga na umbea wa watoto.
Unachokiandika wewe ni uongo mtupu.Tafadhali kanisha andiko lako mara moja,la sivyo nitaleta hapa taarifa sahihi.Shule hiyo kwa takribani miaka mitano iliyopita hakuna mwalimu kama huyo.Acha kukurupuka na kuandika vitu vya uongo.
Jiwe gizani.

Povu linakutoka,umepaniki.

Tabia za kufirana siyo nzuri bwanaaa!!
 
Unapoandika taarifa nyeti kama hizi,inabidi ujiridhishe kabisa pasi na shaka,siyo kusikia sikia habari za kuunga unga na umbea wa watoto.
Unachokiandika wewe ni uongo mtupu.Tafadhali kanisha andiko lako mara moja,la sivyo nitaleta hapa taarifa sahihi.Shule hiyo kwa takribani miaka mitano iliyopita hakuna mwalimu kama huyo.Acha kukurupuka na kuandika vitu vya uongo.
Lete taarifa sahihi kukanusha habari hii.
Vinginevyo unamlinda mwalimu au ni wewe muhusika.
 
Jamaa baada ya kumfimalagua mwalimu kaona atoe na siri
 
Piga kisu ya matako huyo mwalimu. Pambaafu sana.😡😡😡😡
Mimi ni Mkazi wa Ifakara Mkoani Morogoro, nina kero moja ambayo naona kadiri siku zinavyozidi kwenda mbele mambo yanazidi kuharibika, bora niseme hapa kupitia JF ili ujumbe uwafikie wahusika kuanzia wazaz, walezi na mamlaka za juu.

Kuna shule hapa jirani yangu ambapo ilibidi nifanye mchakato wa kumuondoa maeneo hayo kutokana na kuharibika kimaadili.

Inaitwa Shule ya Sekondari Kibaoni, kuna Mwalimu mmoja wa kiume anajihusisha na mapenzi ya jinsia moja, kibaya zaidi amekuwa akiambukiza tabia hiyo kwa Wanafunzi wake.

Anawachukua Wanafunzi wa kiume anaenda nao nyumbani kwake ili wakamridhishe mahitaji yake ya kimwili.

Tabia hiyo ilianza kama siri na sasa inajulikana hadi ngazi ya uongozi wa shule na hadi Halmashauri, sasa imeanza kuhamia kwa Wanafunzi pia ambao ni kama wananogewa na ushenzi huo.

Baadhi ya viongozi wa Halmashauri ya Ifakara wanajua kinachoendelea lakini wanaogopa kuchukua maamuzi, wanamfichia siri Mwalimu huyo ili watu wengine wasijue.

Taarifa hii nimeijua kwa kuwa Watoto wenyewe wanasimuliana kila wanapoenda nyumbani kwa Mwalimu huyo (jina nalihifadhi kwa sasa).

Wizara ya Elimu, iingilie na kufuatilia kinachoendelea, Watoto wetu wanaharibiwa huku Ifakara.

Kukaa kimya kwa kuwa tu ni Shule ya Serikali kunamaanisha tunakubali kizazi kizidi kuharibika kwa kuwa uchunguzi wangu umebaini hata Wasichana nao wameanza kufanyiana michezo michafu.
 
Kesi nyingi ni Mwalimu kulawiti mwanafunzi, sasa hii ya Mwalimu yeye ndiyo kulawitiwa na wanafunzi sijui watamsaidiaje...

Inasikitisha sana...

Cc: Mahondaw
 
Back
Top Bottom