DOKEZO Mwalimu anajihusisha na mapenzi ya jinsia moja, anawafundisha wanafunzi pia. Serikali mko wapi?

DOKEZO Mwalimu anajihusisha na mapenzi ya jinsia moja, anawafundisha wanafunzi pia. Serikali mko wapi?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mimi ni Mkazi wa Ifakara Mkoani Morogoro, nina kero moja ambayo naona kadiri siku zinavyozidi kwenda mbele mambo yanazidi kuharibika, bora niseme hapa kupitia JF ili ujumbe uwafikie wahusika kuanzia wazaz, walezi na mamlaka za juu.

Kuna shule hapa jirani yangu ambapo ilibidi nifanye mchakato wa kumuondoa maeneo hayo kutokana na kuharibika kimaadili.

Inaitwa Shule ya Sekondari Kibaoni, kuna Mwalimu mmoja wa kiume anajihusisha na mapenzi ya jinsia moja, kibaya zaidi amekuwa akiambukiza tabia hiyo kwa Wanafunzi wake.

Anawachukua Wanafunzi wa kiume anaenda nao nyumbani kwake ili wakamridhishe mahitaji yake ya kimwili.

Tabia hiyo ilianza kama siri na sasa inajulikana hadi ngazi ya uongozi wa shule na hadi Halmashauri, sasa imeanza kuhamia kwa Wanafunzi pia ambao ni kama wananogewa na ushenzi huo.

Baadhi ya viongozi wa Halmashauri ya Ifakara wanajua kinachoendelea lakini wanaogopa kuchukua maamuzi, wanamfichia siri Mwalimu huyo ili watu wengine wasijue.

Taarifa hii nimeijua kwa kuwa Watoto wenyewe wanasimuliana kila wanapoenda nyumbani kwa Mwalimu huyo (jina nalihifadhi kwa sasa).

Wizara ya Elimu, iingilie na kufuatilia kinachoendelea, Watoto wetu wanaharibiwa huku Ifakara.

Kukaa kimya kwa kuwa tu ni Shule ya Serikali kunamaanisha tunakubali kizazi kizidi kuharibika kwa kuwa uchunguzi wangu umebaini hata Wasichana nao wameanza kufanyiana michezo michafu.
Naamini wahusika wamesoma na watachukua hatua.
. Mapadre
. Mashehe
. Masista
. Na masingo hasa wa kiume
. Madereva wa magari ya shule
Hawa watu huwa naweka tahadhari kubwa sana.
 
Muacheni mwalimu aliwe kinyeo kwa raha zake.

Kwanza hakuna ushahidi wowote wenye nguvu kuonesha kwamba mwalimu "anawaambukiza" watoto ushoga.

Watoto wenyewe ni ViboloDinda wanapenda sana kutomba, akitokea mtu anagawa uroda basi wanafakamia.

Mitoto yenu ina upwiru sana, wacha mwalimu afaidi kuzagamuliwa.

Cc: dronedrake

Maghayo Mufti kuku The Infinity
 
Back
Top Bottom