The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 5,082
- 20,806
Watu wote wanaoamini Mungu wako brainwashed, Mungu hayupo. Mtu una akili zako timamu ukubaliane na hadithi za kwenye biblia au quran sijui madudu gani?Nenda ukawe brainwashed kwamba ukiona hujafanikiwa katika mipango au unakutana na challenges basi ujue ina uhusiano na mikosi ya wazazi wako,jamaa na ndugu waliopita.
Mabazazi hapo wanafwataga totoz tuEnzi hizo nilikuwa raia mwema nilikuwa sikosi hizi semina. Kunakuwaga na watoto wazuri sn
Mchumia tumbo huyo,
Anataka sadaka aendeleze maisha yake
Enzi hizo nilikuwa raia mwema nilikuwa sikosi hizi semina. Kunakuwaga na watoto wazuri sn
Ukishapata neno linakufungulia milango ya kuona wadada wazuri
Usikute tumewahi kukutana
Watu wote wanaoamini Mungu wako brainwashed, Mungu hayupo. Mtu una akili zako timamu ukubaliane na hadithi za kwenye biblia au quran sijui madudu gani?
Watu wote wanaoamini Mungu wako brainwashed, Mungu hayupo. Mtu una akili zako timamu ukubaliane na hadithi za kwenye biblia au quran sijui madudu gani?
1. Mungu hayupo mahala popote, hadithi za uwepo wake ni za kutunga, hakuna kitu kama hicho na wala hakijawahi kuwepo mahala popote pale.1. Nimeshakuuliza Mara kadhaa kwamba Mungu hayupo wapi na ulikusudia awe lini na kwa muda gani pia?
2. Je,hilo dai ni lako au la Mungu?
3. Hivi unatumia Logic unasema kitu Fulani hakipo na wakati huo huo unakitaja? Huoni kama ni contradiction kwamba ile kutaja "Mungu" tayari unakiri existence yake?
4.Je, unaweza kunitajia mifano ya vitu ambavyo havipo lakina vina majina tayari?
Kuzaliwa mara ya pili ndio kuzaliwa gani? (Hili swali nimekutega, usijichanganye)Nina uhakika hujazaliwa mara ya pili wewe, nafasi yako ya kuzaliwa upya ipo wazi njoo kwa semina upate kuzaliwa tens.
hata wewe mkuu? ni ufalme wa namna gani wa Kristo tunajenga aiseeMchumia tumbo huyo,
Anataka sadaka aendeleze maisha yake
Mungu haexist kwa kutajwa, anaexist kwa kufanya yale ambayo sifa za hilo jina mungu linadai anazo, hajawahi kufanya chochote hvyo hayupo.
Ipo. Akili yangu ipo.Akili yako ipo?
Ipo. Akili yangu ipo.
Haha, Nakemea hiyo roho! Kwanza mie niko Kolomije huku Mkuu.!Ukishapata neno linakufungulia milango ya kuona wadada wazuri
Usikute tumewahi kukutana
Haha, Nakemea hiyo roho! Kwanza mie niko Kolomije huku Mkuu.!
Huyu baba namkubali sana.huwa ananipa hamasa ya kufahamu Zaidi bibleKaribu vijana tumsikilize mwl tupate afya kiroho.View attachment 951460
1. Mungu hayupo mahala popote, hadithi za uwepo wake ni za kutunga, hakuna kitu kama hicho na wala hakijawahi kuwepo mahala popote pale.
2. Dai gani? Rudia kuulizwa swali, jenga mantiki maana swali lako halina maana.
3. Kutaja kitu hakumaanishi kua kipo, tunamtaja Isaack Newton kila mara kwenye masomo ya sayansi hasa fizikia, kwani Newton yupo?. Mungu ni neno la kufikirika, tunalitaja hakuna maana kua hicho kitu kipo. Mungu haexist kwa kutajwa, anaexist kwa kufanya yale ambayo sifa za hilo jina mungu linadai anazo, hajawahi kufanya chochote hvyo hayupo. Lakini huyo Newton niliemtolea mfano aliishi na watu walimuona, wewe mungu umewahi kumuona?
4. Nimekwisha kutajia na nikakupa mifano.
5. Mungu au kitu kinaitwa mungu hakijawahi kuwepo. Sifa zinazotajwa kua ni za mungu au kitu kinaitwa mungu hazijawahi kua kwa kitu chocjote hvyo hicho kitu hakipo maana hakijawahi kujionyesha kua kipo na kikaonyesha hizo sifa wanazodai kinacho. Ukisema kuna jiwe linatembea, alafu hakuna jiwe lolote lilishawahi kutokea au kujitokeza likiwa linatembea maana yake hilo jiwe halipo.
6. Uliza swali lingine.