Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Mwenyezi Mungu akusameheMchumia tumbo huyo,
Anataka sadaka aendeleze maisha yake
Unapata faida gani kuifahamu zaidi hiyo biblia mkuu ?!!!_just curious to know !Huyu baba namkubali sana.huwa ananipa hamasa ya kufahamu Zaidi bible
Walokole bana .....so funnyMwenyezi Mungu akusamehe
Namfaham mpaka nyumbani kwakeAcha uongo wewe, mbona somo la ndoto na maana zake hujalitaja!!
Mwl anayo .,..Naona humjui huyu mwalimu
Kukutana kwa huduma ya kiroho ni kitu kizuri mno Mkuu..!!
Namfaham mpaka nyumbani kwake
Umeona sitishiki na hao matapeli ,umeona bora unitusi tu, ...hahahaaaUr an Ass!
Kwanini asianze kumsamehe mwakasege mpiga dili na mla nguruwe?Mwenyezi Mungu akusamehe
Bado biblia hujaijua , zaidi anawazubaisha kwa maneno matamuHuyu baba namkubali sana.huwa ananipa hamasa ya kufahamu Zaidi bible
Umejaa sana kufarijianaDuh aiseee uzi umejaa mipasho tupu
Acha uzushi ndugu.Bado biblia hujaijua , zaidi anawazubaisha kwa maneno matamu
Na kuwapa vitisho msipokuwa watoaji wa zaka na sadaka
Kama anawafundisha vzr biblia msingekuwa wala nguruwe, na waasi wa amri za Mungu
Sema anawapa hamasa ya kutoa zaka na sadaka huku akiwatisha kwa Mistari ya AGANO LA KALE
ambalo pia linakataza kula nguruwe, kenge na mbwa, ila Huyo huyo mwakasege anatafuna nguruwe .
Uzushi upi ,kanush Kwa ushahidAcha uzushi ndugu.
Uzushi upi ,kanush Kwa ushahid
Onesha huo uzushi, hiv kwann mnakuwa brainwashed na hawa makanjanja?Yote uliyoandika ni uzushi mtupu , ole wako kwa kumzushia mtumishi wa Mungu.View attachment 952711
Msabato muabudu siku spottedHakunaga vitisho vya hivyo,
Yaani unanitisha kwa mwakasege huyu mla nguruwe?
Muabudu siku wa kwanza ni Yesu ,(luka 4:16)Msabato muabudu siku spotted
wazee hamuhusiki?Vijana msikose,mkakue kiroho