Mbona wewe ni mkatoliki uliyekua brainwashed kwamba ukiwa na dhambi uende kwa mwanadamu mwenzako (padri, bruda, etc) ukaziungame kwake then umtoe walau 'takrima' ndogo then utasameheka na wewe ulivyo mweupe kichwani ukaamini....mbona hujabugudhiwa na mtu? Tumenyamaza tu wala hatuna tatizo na wewe.Nenda ukawe brainwashed kwamba ukiona hujafanikiwa katika mipango au unakutana na challenges basi ujue ina uhusiano na mikosi ya wazazi wako,jamaa na ndugu waliopita.
Huyo yesu wako uliyejifunza kwake ndiye amekupa mamlaka ya kuwatambua wengine kwamba sio real bali ni wachumia tumbo, right?Muabudu siku wa kwanza ni Yesu ,(luka 4:16)
Ndio nimejifunza kwake
Mkuu nilijua tu huyu mkatoliki ndilo swali angeuliza, sijui wanakaririshwaga hizi nonsense huko seminarini.Mkuu uliza maswali yenye akili. Sio haya mkuu.
Kivipi??? Mbona sijawahi kuona Kama Ana udiniMwakasege sasa akubali kutoka kwenye dini,akae na wenzake walio okoka.
Roho ya udini bado imemshika na anaishi kwa liturujia
Hapo kwenye kuomba msamaha kwa padri kwa kweli huwa nashangaa Sana,unaomba msamaha wa dhambi kwa binadamu mwenzako?Mbona wewe ni mkatoliki uliyekua brainwashed kwamba ukiwa na dhambi uende kwa mwanadamu mwenzako (padri, bruda, etc) ukaziungame kwake then umtoe walau 'takrima' ndogo then utasameheka na wewe ulivyo mweupe kichwani ukaamini....mbona hujabugudhiwa na mtu? Tumenyamaza tu wala hatuna tatizo na wewe.
Kuna hasara yoyote unapata mtoa mada akiwa brainwashed? Maana i am sure yeye hapati hasara yoyote wewe kuwa brainwashed kwamba ukifariki leo katika dhambi 'eti uliowaacha duniani wakikuombea utaenda peponi'
Naamini kabisa mtoa mada hasumbuliwi na fact kwamba wewe ni mweupe mno kichwani kiasi cha kuwa brainwashed katika vitu vidogo tu vya kawaida
Hivi kula nguruwe Ni dhambi kubwa sanaBado biblia hujaijua , zaidi anawazubaisha kwa maneno matamu
Na kuwapa vitisho msipokuwa watoaji wa zaka na sadaka
Kama anawafundisha vzr biblia msingekuwa wala nguruwe, na waasi wa amri za Mungu
Sema anawapa hamasa ya kutoa zaka na sadaka huku akiwatisha kwa Mistari ya AGANO LA KALE
ambalo pia linakataza kula nguruwe, kenge na mbwa, ila Huyo huyo mwakasege anatafuna nguruwe .
Wokovu una kanuni zake ila hauna Dini.Kivipi??? Mbona sijawahi kuona Kama Ana udini
Yesu pekee ndiyr tunatubu kwake,hawa wengine ni manabii wa BaaliHapo kwenye kuomba msamaha kwa padri kwa kweli huwa nashangaa Sana,unaomba msamaha wa dhambi kwa binadamu mwenzako?
Hivi walokole hawaruhusu kubariki ndoa? So tatizo linakuja kwasababu anaendelea na ulutheriWokovu una kanuni zake ila hauna Dini.
Dini yake ya sasa wala haijubaliani na anayofanya.
Wanamtaja Roho mtakatifu lakini hawajazwi na roho mtakatifu.
Wanafuata liturujia,ibada inaongozwa na wao wenyewe na kalenda,somo linasomwa dunia nzima kwa siku moja(luturujia).
Dini yake inaruhusu kuoa mke baada ya kuzini naye ,kubariki ndoa nk.
Kama anahubiri wokovu wa kweli awafundishe wanao okoka waende makanisa ya kiroho
Pole sana mkuu. MUNGU ni mwema huduma inaendelea vizuri sana na leo jumapili anamalizia semina.Dah alhamisi nilikua kwenye basi kutoka iringa kuelekea dar kwajili ya hii semina nilitamani sana kuudhuria lkn tukapata ajari pale ruaha Dah ikanibidi tu nilidi zangu iringa maana nilitoka mzima bila jeraha lolote na safari nka ghairi namshukuru Mungu kwa uzima maana kuna watu walipoteza maisha katki ajari ile Dah hope mmeinjoy mafundisho. ..View attachment 952584
Sasa huwa nauliza hao mapadri hawatendi dhambi??? Ila wakatoliki Sheria zao zinashtusha sanaYesu pekee ndiyr tunatubu kwake,hawa wengine ni manabii wa Baali
Ni sawa na dhambi ya USHOGAHivi kula nguruwe Ni dhambi kubwa sana
Ni sawa na dhambi ya USHOGA
MAANA MUNGU ANAIITA DHAMBI YA USHOGA machukizo
Ukija kula najisi anakuita MACHUKIZO
HALAFU CHA AJABU ,anasema siku ya hukumu wala nguruwe na machukizo mengine watakaouwawa WATAKUWA WENGI,
NDIO NYIE ANAWADANGANYA ANAWAFUNDISHA BIBLIA?Imeandikwa wapi hiyp dhambi?
Ila kuwanyooshea wengine vidole sio dhambi, kuwahukumu wengine katika mambo ya kiimani ambayo wana haki ya kimsingi kabisa kuyaamini na kuyatekeleza sio dhambi, right? Kukaa na kuanza kusema yule ni mchumia tumbo...sjui yule ni mla nguruwe na mengine mengi sio dhambi, sio?Ni sawa na dhambi ya USHOGA
MAANA MUNGU ANAIITA DHAMBI YA USHOGA machukizo
Ukija kula najisi anakuita MACHUKIZO
HALAFU CHA AJABU ,anasema siku ya hukumu wala nguruwe na machukizo mengine watakaouwawa WATAKUWA WENGI,
WEWE KWELI HAMNAZOIla kuwanyooshea wengine vidole sio dhambi, kuwahukumu wengine katika mambo ya kiimani ambayo wana haki ya kimsingi kabisa kuyaamini na kuyatekeleza sio dhambi, right? Kukaa na kuanza kusema yule ni mchumia tumbo...sjui yule ni mla nguruwe na mengine mengi sio dhambi, sio?
Kwa hiyo huyo yesu wenu ndo anawapa hii 'mamlaka' ya kujihesabia haki na kuwakashifu wengine kwa maneno ya kejeli kama 'wachumia tumbo...sio?
Trust me man, kama huyo yesu wenu ndivyo alivyowafundisha kwamba mna haki kabisa kuwanyoshea wenzenu vidole na kuwakashifu sio dhambi ila tu kula nguruwe ni dhambi then kuna tatizo hapo, either hamumuelewi yesu wenu vizuri ama huyo yesu wenu yupo biased.
Nililitegemea hili kutoka kwako, kwamba wewe ni wale waumini ambao hufanya tafakari ya Biblia kwa kusoma maneno kama yalivyo bila kuzingatia mambo kadhaa kama muktadha uliotumika kuandika, akina nani walikua walengwa, wakati gani etc.WEWE KWELI HAMNAZO
MTU AKIAMBIWA UKWELI , NI DHAMBI?
MIMI NIMEONGEA KILICHO DHAHIRI
NIMEONGEA DHAHIRI KUWA WALA NGURUWE KAMA KINA MWAKASEGE SEHEMU YAO NI ZIWA LA MOTO ,
KWA MUJIBU WA BIBLIA,
UNASEMA NAJIHESABIA HAKI, HUONI NAKUKUMBUSHA HATA WEWE
HEBU SOMA HAPA KWA MAKINI ,KUHUSU SIKU YA HUKUMU/KIAMA ITAKAVYOKUWA
ISAYA 66
15 Maana Bwana atakuja na moto, na magari yake ya vita kama upepo wa kisulisuli; ili atoe malipo ya ghadhabu yake kwa moto uwakao, na maonyo yake kwa miali ya moto.
16 Kwa maana Bwana atateta na wote wenye mwili, kwa moto na kwa upanga wake; nao watakaouawa na Bwana watakuwa wengi.
17 Watu wale wajitakasao, na kujisafisha katika bustani, nyuma yake aliye katikati; wakila nyama ya nguruwe, na machukizo, na panya; watakoma pamoja, asema Bwana.
18 Nami nayajua matendo yao na mawazo yao; wakati unakuja nitakapokusanya mataifa yote na lugha zote; nao watakuja, nao watauona utukufu wangu.
Na wala na kunywa mikojo ya ngamia je hawa vip?WEWE KWELI HAMNAZO
MTU AKIAMBIWA UKWELI , NI DHAMBI?
MIMI NIMEONGEA KILICHO DHAHIRI
NIMEONGEA DHAHIRI KUWA WALA NGURUWE KAMA KINA MWAKASEGE SEHEMU YAO NI ZIWA LA MOTO ,
KWA MUJIBU WA BIBLIA,
UNASEMA NAJIHESABIA HAKI, HUONI NAKUKUMBUSHA HATA WEWE
HEBU SOMA HAPA KWA MAKINI ,KUHUSU SIKU YA HUKUMU/KIAMA ITAKAVYOKUWA
ISAYA 66
15 Maana Bwana atakuja na moto, na magari yake ya vita kama upepo wa kisulisuli; ili atoe malipo ya ghadhabu yake kwa moto uwakao, na maonyo yake kwa miali ya moto.
16 Kwa maana Bwana atateta na wote wenye mwili, kwa moto na kwa upanga wake; nao watakaouawa na Bwana watakuwa wengi.
17 Watu wale wajitakasao, na kujisafisha katika bustani, nyuma yake aliye katikati; wakila nyama ya nguruwe, na machukizo, na panya; watakoma pamoja, asema Bwana.
18 Nami nayajua matendo yao na mawazo yao; wakati unakuja nitakapokusanya mataifa yote na lugha zote; nao watakuja, nao watauona utukufu wangu.